Tanzania imefanya vizuri kama si Kufuzu katika Mashindano ya Dunia ya Kombe la Wenye Furaha Duniani kwa kuwa nafasi ya 153 kati ya 156 katika zile nchi zote duniani ambazo zina Furaha. Jamani hii...
Jana mida ya sita mchana asikari walizunguka viunga vya garden ya posta ya zamani NBC na kukamata kila aliyekuwa amekaa ndani ya viunga hivyo hii ilipelekea baadhi kupigwa akiwemo mwanafunzi wa...
Nianza na mada yenyewe, nimekua nikitibiwa Muhimbili kwa muda sasa
Cha kushangaza ni kua Madaktari wanawadhamini sana wenye bima kuliko wakina sisi tunaolipa cash ukitokea Hospital za Wilaya hasa...
Ishu ilikuwa very serious kwenye familia hii. Mama mjane kaachiwa mabinti wanne. Mabinti wamesoma na wana kila kitu. Mama anataka aone wajukuu kabla hajafa. Watoto hawana wachumba.
Mama kaamua...
Mimi ni moja ya watu waoga wa kujenga ghorofa, hofu yangu kubwa ni juu ya gharama. Lakini nimekuja kufikiria faida za kujenga ghorofa mfano kuepuka gharama za bati, kwa kujenga ghorofa kiwanja...
Nimekuwa nawaza sana suala kama hili tokea zaman,
Kuna wazee wangu nimekutana nao zamani wa makamo ya miaka kama 70+
Wanasema kwamba kama una mipango ya kufanya kesho yake,
Kama interview, maombi...
1. Hapana Shaka Mbunge wa Arumeru Mashariki JOSHUA NASSARI alimpeleka mke wake kujifungulia Marekani ili mtoto apate uraia wa Marekani.
2. Kwa kauli yake mwenyewe Joshua Nassari amesema...
Kuna tatizo kubwa sana ambalo watu wengi hawataki kulizungumzia na hata wahanga wenyewe wanajifanya hawaoni, wamejinyamazia. Tatizo la kuwepo kwa wimbi kubwa la wanawake wenye umri kuanzia miaka...
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KUOMBA RADHI WATEJA WETU WA WILAYA YA TEGETA
MACHI 21, 2019
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni...
Dar es Salaam. Tanzania itawasilisha kwa mara ya kwanza ripoti ya tathmini kuhusu utekelezaji wa malengo endelevu ya maendeleo (SDG) kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mwaka huu.
Hatua hiyo...
Leo tarehe 21 mwezi March katika elimu ya Jiografia ni kwamba Jua lipo katika mstari wa Ikweta ambao unaigawa dunia katika sehemu mbili yaani *hemispheres* kwa maana ya upande wa Kakazini na...
Habari Wakuu...
Kuna picha nimeiona mahala ikionyesha mtu kwa jina kwenye ile account yake ni Ben Stiller (cocochiecrumbs), jamaa dizaini kama alikua anaonyesha CD fulan sasa kilichoonekana si...
Wasalaam!
Naomba nieleze kuwa nimesikitishwa sana na watu wanaojiita ni kutoka Manispaa kukamata/kutoza faini magari yanayopaki sehemu isiyo rasmi!
Kwa watu wanaoifahamu vizuri barabara ya...
Siku Fidel Castro alipofoka akimlaani Abdelaziz Bouteflika
Na Ahmed Rajab
ABDELAZIZ Bouteflika ni jina ambalo baadhi yetu, wa umri fulani, tumekulia nalo utotoni na tunaendelea kulisikia hadi...
Wana MMU habari zenu
Baada ya jua kuwa kali na joto kuzidi nimewaza kwenda nchi za Scandnavia baada yakuskia kwa baadhi ya wana MMU kuwa kwenye hizo nchi kuna kazi za kusambaza magazeti na kubeba...
WIZARA ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi imezindua rasmi mpango wa kutambua na kusajili kila kipande cha ardhi kwa Mkoa wa Dar es Salaam kama sehemu ya kuongeza usalama wa milki ya ardhi...
Amani Iwe Nanyi Wakuu.
Nahitaji muongozo kutoka kwenu, nahitaji kutoa zawadi ya chano kwa viumbe, nnaposema zawadi namaanisha ni zawadi tu kama mtu anapompa zawadi mwenzake.
Unapompa mwenzako...
Kutokana na matengenezo yanayoendelea kwenye hili eneo, kuna mabadiliko makubwa ya njia yametokea..
Majanga au maafa makubwa yatatokea kama hali itaendelea hivi, maana hakuna sheria inayofuatwa...
Mwaka 2015 ulishinda kwa kishindo huku ukihubiri sera zako au mambo Mbali Mbali. Baadhi ya mambo yaliyotugusa watu wa chini ni kama vile
• Elimu bure
•Uboreshaji wa huduma za Afya
• Mikopo ya...
habari wadau..
kuna fremu ya biashara nimepanga buza kwenye appartment za tajiri mmoja buza kwa mama kibonge.....
utaratibu wa hapa umenishangaza kidogo... kila mtu analipia shilingi 500 ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.