Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,766
- 10,624
Kichwa Cha habari kinashtua kidogo. Hizi hospital zinaaminika kwa kiasi gani kwenye utoaji sahihi wa vyeti?
Kwa mfano mtu anajua ameuza mechi ile mbaya halafu anatakiwa aoe. Hawezi kumpanga dokta afanye namna?
Maana watu waliweza kufoji vyeti vya NECTA ambavyo mtoaji ni mmoja si zaidi HIV ambapo karibu Kila hi Hospital inaweza fanya testing?
Kwa kiasi gani hospitali zinaaminika?