Sekretarieti ya ajira ni chombo muhimu sana katika upatikanaji wa haki katika michako ya ajira kwenye utumishi wa umma, kimepunguza udanganyifu na urasimu wa ajira kwa asilimia kubwa pamoja na...
MAHAKAMA Kuu Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo itaamua Kamishna Msaidizi wa Polisi, Abdallah Zombe na wenzake wanane wanyongwe au la. Jaji Salum Massati atatoa hukumu ya kesi ya mauaji...
Uhalibifu wa mazingira unaoambatana na ongezeko la ukataji wa miti, uchomaji wa makaa ya mawe, mkaa na mafuta jamii ya petrol kwenye magari, majenereta na mitambo ya kufua umeme (power stations)...
Habari za hivi punde kutoka radio ya clouds fm...
Mtangazaji Paul James ndio kapewa kuvaa viatu vya marehemu Ephraim Kibonde kwenye kipindi cha Jahazi.....hiyo inakamirisha hule utatu wao tena...
Mobile technology adds $2.5 billion to Tanzania economy, GSMA report
Tanzania’s mobile industry is contributing significantly to the realization of the country’s economic and development goals...
MAHAKAMA ya hakimu mkazi Arusha leo imehairisha kusoma hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mkuu wa wilaya mstaafu nchini,Dahn Makanga dhidi ya Mathew Mollel ambaye ni mkazi wa jijini Arusha.
Hukumu...
Mtoto ALEX FREDRICK SANGA, mwaka mmoja na miezi saba, mkazi wa mapinduzi alikutwa amefariki dunia kwenye korongo lenye maji ambalo lipo jirani na nyumbani kwao
Tukio limetokea mnamo tarehe...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limefunga kamera maalumu kwa lengo la kutambua magari yanayodaiwa kutokana na Makosa ya usalama barabarani.
Akiongea na vyombo vya habari Kamanda mpya wa jeshi la...
Nimehuzunishwa sana sana nikiwa kama Mtanzania kuona nembo yangu inayo iwakilisha Taifa ikitumika kwenye matumizi yasiyo sahihi, naomba mamlaka husika waichukulie hatua za kinidhamu hii kampuni...
SOKO kuu la madini ya dhahabu mkoani Geita limeelezwa kuwa na uwezo wa kuwahudumia wafanyabiashara wa madini ya dhahabu wa ndani na kutoka nchi zingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Hayo...
Wakuu za asubuhi !
Wadau mimi binafsi ninaona ipo possibility kubwa ya kuja kuifreez account ya kumchangia Tundu Lissu kwa maagizo kutoka juu ! Je mnadhani hilo linawezakana kufanyika? Nini...
Leo mida ya jioni, mishale ya saa mbili usiku nimewasha simu baada ya kuwa imezima chaji tangu mchana.
Nimewasha simu nashangaa inaingia meseji ya TigoPesa kwamba nimefanikiwa kutuma pesa kiasi...
Wakuu,vifo vingi ukichunguza kiundan,ni uzembe wa hali ya juu,sana sana hivi vi-dispensary mitaani vinaua sana watu kwa utatibu mbovu.
Mtu unampima sukari imefika 24 unamruhusu aende home afanye...
HABARI YA MAJUKUMU WANABODI.
Dhana ya ulinzi shirikishi imeendelea kushika kasi katika jamii zetu pamoja na kuwa na msukumo mdogo au kutokuwepo au kutotambulika kisheria.
ni ukweli usio pingika...
Ziara ya mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa Mhe Mizengo Peter Pinda, Mkoani Manyara, imeingia siku ya pili.
Mhe Pinda alipokelewa Kijiji cha Dosidosi Kiteto jana na kuongea na wananchi akiwataka...
Pinda abeba changamoto, Engusero Sekondari
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mhe Mizengo Kayanza Peter Pinda na Waziri Mkuu mstaafu amesema, changamoto zinazowakabili wanafunzi shule ya...
Mwishoni mwa wiki ya tarehe 14/03/2019 askari aitwaye ANDREW anayeendesha pikipiki ya boxer mwenye tabia ya kupiga raia hovyo na kuwanyanganya pesa, usiku wa tarehe tajwa alimkamata kijana akiwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli amemteua Bw. Hassan Abeid Mwang’ombe kuwa PostaMasta Mkuu.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John...
Kwa kifupi msafara wa kupokea body ya Ruge utaanzia pale Air port utapita Vingunguti, Tazara hadi Buguruni kisha Amana hadi ofisi ya mkuu wa mkoa then Magomeni, Tandale, Sinza, Ipp hadi Clouds...
Inawezekana nitakachokijadili hapa kikaonekana kama uhalisia mazingaombwe lakini napenda kuweka wazi kuwa sivyo ila ni uhalisia kwa sababu ni jambo ambalo tunakifanya mara kwa mara na inaezekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.