Jua kali la uso kwenye daladala

nangwanda

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
358
564
Moja kwa moja kwenye mada,kwa sisi wapanda daladala tusiokua na vibebiwoka ukiwa unaelekea kwenye kujitafutia kariziki chako iwe asubuhi jua linachomoza kali kama pasi au mchana au jioni unajirudisha,kwanini hizi daladala wasiweke vile vipazia wakawa wanawapunguzia kuchomwa jua wateja wao?au ndo tushazoea shida?

mvujajasho nguli
 
Wanajali sana afya ya wasio na vibebiwoka, na ndio maana wanakupa dozi ya vitamin D, bureeee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom