Salamu wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema,hakika niko katika wakati mgumu,naombeni yoyote mwenye uwezo na moyo wa msaada anisaidie mkopo wa sh. Laki 5 tu nitatue tatizo ambalo mda si mrefu...
Askari Polisi Tufike Tumaini aliyekuwa akikabiliwa mashtaka 13 ya rushwa, amehukumiwa kutumikia adhabu ya miaka miwili jela, baada ya kutiwa hatiani na Mahakama ya Wilaya ya Same, mkoani...
Jamani acheni masihara,matokeo ya kidato cha nne kwa somo la English ni duni sana.Uduni huu unaelekea kusababishwa hasa na uhaba wa walimu wa somo la English katika shule nyingi nchini.
Jaribuni...
Kheri ya mwaka mpya ndugu wana Jf.
Awali ya yote nimshukuru Mola kwa mwaka mwingine tena. Asante JEHOVA.
Leo ndiyo siku ya kwanza ya mwaka huu 2019 na ninampa ufunuo wa uhakika JPM na hakika...
Za Usiku wana jamvi. Nani anaweza kunisaidia namna ya kuukausha mti bila ya kuukata. Maana ulipo style ya kuukata ni ngumu sana bila ya kuharibu Nyumba au kudondokea nyaya za umeme.
Je kuna njia...
Mwanafunzi wa kime wa darasa la saba Shule ya Msingi Ifukutwa Kata ya Mpanda Ndogo Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi Ephria Valeli Kijungu (15) amejinyonga kwa kujitundika juu ya mti wa mwembe...
Imeelezwa maambukizi ya virusi vya UKIMWI mkoani Lindi yamepungua kwa asilimia 3.5 kwa tafiti zilizofanywa mwaka 2018.
Hayo yameelezwa na kaimu mratibu wa ugonjwa huo Mkoani humo Dokta HAMIS...
1-Umri 21-30+ bado Unakaa KWENU na haujishughulishi
Jiandae kuwa Maskini na ujiandae kudharaulika na jamii inayokuzunguka pia hauna sifa za kujiita Mwanaume.
2-Msimamo wa kimapenzi =0
Ikiwa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, chini ya uenyekiti wa Mariamu Ditopile Mzuzuri, imefanya ziara ya kikazi mkoani Iringa iliyokuwa na lengo na kukagua kazi ya utekelezaji wa mradi...
Jamani BRELA kwanini vijana tunataabika hivi?
Kusajili kampuni hauambiwi wapi umekosea utarudishwaa weee kila siku mara hiki hakipo sawa mara hiki umeruka mara hiki karudie,jamani eeh hii ni...
Kupata usajili wa kampuni pale brela ni ngumu sana urasimu kibao barua kuomba kutumia jina inachukua wiki mbili ' ukishalipia unapigwa wiki ikiisha ndio hapo utazungushwa miezi mara leo umekosea...
Hiki ninachokiandika ni matokeo ya observation yangu binafsi.
Moja ya shughuli zangu zinazonifanya nilipie bills zangu za kimaisha ni kusaidia employers kwenye private sector kupata waajiriwa...
Jamani msema kweli ni mpenzi wa mungu....
Siamini kama kujitahidi kote kuwahi kuamka na kuoga kila kukuchapo na kuwahi officen lakini mambo ni Bila bila ,,,
NJaa inazidi kuwa kali upande wangu ...
Huwa najiuliza kila Siku kuwa hawa Watu ambao huwa wanazipanda hizi Gari za Kubeba Magazeti kupeleka Mikoani ambazo ukienda Mwenge au Ubungo zimebatizwa jina la ' Tiketi ya Kaburini ' au ' Huduma...
Umeshasoma wataalam wakisema usinywe hiki ,usile kile....wachina wanakula sana kitimoto na bado wanaishi maisha marefu kuliko sisi ambao tunaambiwa sijui kitimoto ina nini...
Watu wengi...
Mwenye uelewa juu ya biashara za mitandao!
Je, n kweli zinalipa au n porojo?
Naomba kufahamishwa, hususan hawa jamaa wanaojiita Allience in motion global kifupi AIM GLOBAL!
JESHI la Polisi limesema linafanya uchunguzi dhidi ya mfanyabiashara Mussa Adam ambaye limebainika lilimbambika kesi ya mauaji.
Limedai kuwa wakati linawachukulia hatua baadhi ya askari wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.