Askari wa usalama barabarani jirekebisheni kujali muda

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,984
3,649
Wadau,

Nafahamu ni jukumu la kila mmoja wetu kutii sheria bila shuruti.Pia naelewa ni jukumu la wenzetu wanaosimamia sheria barabarani kuhakikisha taratibu zinafuatwa.

Kuna tabia ambayo imejijenga kwa baadhi ya wasimamizi wa sheria kusimamisha gari bila sababu, hawafanyi ukaguzi au kutazama kitu, askari anasimamisha gari la abiria, anachofanya ni kusalimiana na dreva kisha kuruhusu gari, huu utaratibu upi?

Juzi tu nilikua Rwanda mjini kigali, namna ambavyo mambo yanaenda utafurahi.Haya yote yanawezekana, SISI TUNAKWAMA WAPI??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatoa nafasi pia kama abiria wana tatizo na dreva au gari pale ndo sehemu sahihi ya kuzungumza. Kama dreva amelewa anaweza kumgundua, kuhusu magari ya abiria acha tu wawe makini. Hizo dakika mbili anazoongea nae hazina madhara sana kama wakiachwa huru tu mwanzo mwisho, japo kuna wengine ni njia ya kupokea rushwa tu ila acha iwe hivyo. Ukifungua madirisha upate hewa nzuri hata ng'e anaweza ingia ndani
 
Wadau,

Nafahamu ni jukumu la kila mmoja wetu kutii sheria bila shuruti.Pia naelewa ni jukumu la wenzetu wanaosimamia sheria barabarani kuhakikisha taratibu zinafuatwa.

Kuna tabia ambayo imejijenga kwa baadhi ya wasimamizi wa sheria kusimamisha gari bila sababu, hawafanyi ukaguzi au kutazama kitu, askari anasimamisha gari la abiria, anachofanya ni kusalimiana na dreva kisha kuruhusu gari, huu utaratibu upi?

Juzi tu nilikua Rwanda mjini kigali, namna ambavyo mambo yanaenda utafurahi.Haya yote yanawezekana, SISI TUNAKWAMA WAPI??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kero zaidi pale anakusimamisha na hakuhudumii chochote hata dakika 10 zinapita bila sababu, Mara aongee Na simu Mara atishie kusimamisha gari zengine huku were anakuchomesha mahindi
 
Wadau,

Nafahamu ni jukumu la kila mmoja wetu kutii sheria bila shuruti.Pia naelewa ni jukumu la wenzetu wanaosimamia sheria barabarani kuhakikisha taratibu zinafuatwa.

Kuna tabia ambayo imejijenga kwa baadhi ya wasimamizi wa sheria kusimamisha gari bila sababu, hawafanyi ukaguzi au kutazama kitu, askari anasimamisha gari la abiria, anachofanya ni kusalimiana na dreva kisha kuruhusu gari, huu utaratibu upi?

Juzi tu nilikua Rwanda mjini kigali, namna ambavyo mambo yanaenda utafurahi.Haya yote yanawezekana, SISI TUNAKWAMA WAPI??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hua nawashangaa sana watu wanaolinganisha kale kamtaa au kakitongoji kanakoitwa Rwanda na Nchi ya Tanzania .

Basi Limetoka Songea mpaka DSM halafu unalinganisha na vile bibasi vya Rwanda kama vidaladala vya kule kitongojini.
Hapana tuipende nchi yetu. Huwezi kulinganisha Tembo na panya eti kwa sababu panya anaweza kuchimba shimo.
Tembo hana haja ya kuchimba shimo la kujificha mana haogopi chochote.

Tanzania ni Tembo na Rwanda ni Panya tuu. Tena Panya loko.

Yapo mapugufu mengi sana ya askari wa trafiki na serikali kwa ukumla lakini hatuwezi kulinganisha nchi yetu tukufu na uchafu na wauaji wa Rwanda.

Ningefikiri ungewashauri trafiki na serikali yao na jeshi la polisi waachane na kupoteza nguvu kubwa kwenye kuimarisha TCRA ili tu kuangalia nani anaikosoa serikali na kuipinga badala yake waunganishe mitandao yote ya simu na benki na kila mahali penye malipo hata kwenye Maduka makubwa kama Supermarket ili madeni yote ya trafiki wanayoandika faini yalipwe baada ya siku saba kuisha basi Mitandao itafute kila mtu atakapogusa kwenye malipo iwe ni kwenye Vituo vya mafuta,benki, Supermarket ,Tigopesa Mpesa n.k. Lakini sio kutumia mtindo ule ule wa kusimamisha magari na kuyaweka masaa kwa akili ya kudai malipo manually. Deni limeandikwa kielekroniki lakini linadiwa kizamani sana.
Waafrika tujifunze namna ya kubotesha mitandao ya internet kwa manufaa yetu wote sio kununua mamitambonkwa gharama kubwa kwa akili kulinda vyeo vya watu na sifa za mtu badala ya kujenga uchumi wa nchi.

Ilipaswa iwe kwamba ukishandikiwa faini ya barabarani baada ya siku saba unatumiwa meseji ya kukumbusha deni ili kama kuna makosa utoe taatifa kuwa deni hilo hulitambui. Baada ya siku saba unapewa siku saba tena kwa ajili ya kuweka kumbukumbu sawa.
Baada ya hizo siku kumi na nne basi kila utakapoweka au kulipa fedha deni linakatwa huko huko fasta na serikali inachukua hela yake. Heta ukiweka Vocha kwenye simu ilitakiwa wanaikata ile buku inabaki 29,000/- mapaka deni liishe . Kila mtu angekua analipa madeni kwa wakati na hata wale wanaochelewesha wangelipa kwa wakati direct or indirect.
Lakini cha ajabu wanaanza tena kutafuta vitochi vingine tena vya kumulika madeni kwa kushika na mikaono barabarani.Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom