Nawezaje kupona ajali inayotokana na ndege?

KIBESENI

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
339
268
Mimi sielewi, mnisaidie. Ivi ajari ya ndege ikitokea, hakuna hata uwezekano wa mtu kujitosa huko angani akaluka na palachuti, au ikitokea basi nikusubili kifo tu, au mimi ndo sijui. Maana haiingi akilini watj 150 kufa kirahisi tu. Kwa usafili wa gari nisawa, maana na inatokea ghafla. Ndege lonapoanza kupolomoka kwenda chini hakunaga kujiokoa. Naomba kueleweshwwa maana hii ajari ya juzi imeniumiza sana.
SIJAWAHI KUPANDA NDEGE LAKINI. 😴😴😴
 
Sijawahi kupanda ndege. Ngoja nami nisubiri maoni ila kwa kujenga picha tu naona kama ni kusubiri tu kifo. maana sidhani kuna.......
 
Ndege ndo usafiri salama na wa haraka kuliko aina nyingine za usafiri. Ndege ikiwa inapaa inatembea speed zaid ya 300kph, ikiwa angani inatembea zaidi ya speed 800kph. Kwa speed hiyo ukibahatika kufungua kioo utakufa kwa kasi ya upepo tu. Kama piki piki tu mnashindwa kuruka sembuse na ndege.

Barafu la moto
 
Mimi sielewi, mnisaidie. Ivi ajari ya ndege ikitokea, hakuna hata uwezekano wa mtu kujitosa huko angani akaluka na palachuti, au ikitokea basi nikusubili kifo tu, au mimi ndo sijui. Maana haiingi akilini watj 150 kufa kirahisi tu. Kwa usafili wa gari nisawa, maana na inatokea ghafla. Ndege lonapoanza kupolomoka kwenda chini hakunaga kujiokoa. Naomba kueleweshwwa maana hii ajari ya juzi imeniumiza sana.
SIJAWAHI KUPANDA NDEGE LAKINI. 😴😴😴
Njia pekee ya kupona ajali ya ndege ni kutopanda ndege. Si unaona raisi wetu anavyozikwepa!
 
Ndege ndo usafiri salama na wa haraka kuliko aina nyingine za usafiri. Ndege ikiwa inapaa inatembea speed zaid ya 120kph, ikiwa angani inayembea zaidi ya speed 300kph. Kwa speed hiyo ukibahatika kufungua kioo utakufa kwa kasi ya upepo tu. Kama piki piki tu mnashindwa kuruka sembuse na ndege.

Barafu la moto
Unajua maana ya SALAMA mkuu? Ndege ndio usafiri salama kuliko aina nyingine za usafiri...hebu kuwa serious.
Kwa haraka sawa ni kweli lakini usalama hapana.
 
HAKUNA USAFIRI SALAMA ULIMWENGUNI, Usiwafanye watanzania wajinga!
Ndege ndo usafiri salama na wa haraka kuliko aina nyingine za usafiri. Ndege ikiwa inapaa inatembea speed zaid ya 120kph, ikiwa angani inayembea zaidi ya speed 300kph. Kwa speed hiyo ukibahatika kufungua kioo utakufa kwa kasi ya upepo tu. Kama piki piki tu mnashindwa kuruka sembuse na ndege.

Barafu la moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege ni salama, kuliko hata baiskeli, ajali za ndege zinaweza kutokea mara moja au mbili katika miaka 10, lakini magari, meli, boat n.k ni Mara nyingi na wakati mwingine hazilipotiwi. Lakini ajali ya ndege hainaga second chance ikitokea ndo buriani.
Unajua maana ya SALAMA mkuu? Ndege ndio usafiri salama kuliko aina nyingine za usafiri...hebu kuwa serious.
Kwa haraka sawa ni kweli lakini usalama hapana.

Barafu la moto
 
Ndege ni salama, kuliko hata baiskeli, ajali za ndege zinaweza kutokea mara moja au mbili katika miaka 10, lakini magari, meli, boat n.k ni Mara nyingi na wakati mwingine hazilipotiwi. Lakini ajali ya ndege hainaga second chance ikitokea ndo buriani.

Barafu la moto
Nani aliekwambia ajali za ndege hazitokei mara kwa mara?
Kipimo cha usalama ni kutokea ajali mara kwa mara au chances za watu kupona ikiwa imetokea ajali?
 
Kwetu sisi Waswahili AJARI ni ilekete inayotumika ktk mchezo wa bao au keram sijui ndio AJARI uliokusudia??
Mimi sielewi, mnisaidie. Ivi ajari ya ndege ikitokea, hakuna hata uwezekano wa mtu kujitosa huko angani akaluka na palachuti, au ikitokea basi nikusubili kifo tu, au mimi ndo sijui. Maana haiingi akilini watj 150 kufa kirahisi tu. Kwa usafili wa gari nisawa, maana na inatokea ghafla. Ndege lonapoanza kupolomoka kwenda chini hakunaga kujiokoa. Naomba kueleweshwwa maana hii ajari ya juzi imeniumiza sana.
SIJAWAHI KUPANDA NDEGE LAKINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ajali ya juzi ilikuwa ngumu wao kujirusha sababu inasemekana ndege ilichukuwa dakika 6 tangu itoke uwanjani hadi ajali kutokea...kwa akili ya kawaida ya kibinadamu ni ngumu sana kuchukuwa maamuzi ndani ya dakika 6

Halafu kwa umbali ule unaoonekana ukiwa katika ndege kwenda chini inahitaji moyo mgumu sana kujirusha hata ukiwa na yale madude ya kufanya uelee
 
Back
Top Bottom