naomba wanajukwaa mwenye kujua atujuze .hivi channel za ndani zimefungwa kwa manufaa ya nani ?maana ukiwa kenya unaona ukiwa uganda unaona ukiwa maeneo mengi tu nje ya tanzania unazipata ila ukiwa tanzania tatizo linaanza kuna kitu gani hasa kinachoendelea na hii ni kwa manufaa ya nani ?hivi itv .star tv.channe ten.clouds na wengine wengi hawaoni kero kwamba channel zao hazionekani katika baadhi ya ving'amuzi pendwa hapa tanzania ?kama wanaona kero kwa nn hatuoni hatua yoyote ya maana wakichukua .kuna nn hasa nyuma ya hili sakata la channel za ndani hapa tanzania ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app