TANZIA: Wakili Shukuru Mlwafu afariki dunia. Alikuwa Mkufunzi UDOM

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,113
27,099
Wakili Shukuru Mlwafu amefariki dunia jijini Dodoma asubuhi ya leo - Machi 17, 2019.

Shukuru atakuwa anakumbukwa na wana JamiiForums kuwa Wakili katika Kesi dhidi ya Sheria ya Makosa ya Mtandao (Cybercrimes Act, 2015) iliyofunguliwa na Jamii Media mapema mwaka 2016. Unaweza kusoma hapa > Jamii Media yafungua Kesi ya Kikatiba kupinga Vifungu vya Sheria ya Makosa ya Mtandao

kesi_jf.png


Aidha, Wakili Mlwafu ndiye alipeleka kesi kupinga waajiriwa kukatwa 15% Bodi ya Mikopo
na alikuwa mwenyekiti wa Chama cha Wahadhiri UDOM.


====

Inna Lilahi wa Innah Lilahi Raajun.

Poleni sana alumni wa UDSM.

Poleni sana wana kitivo a class of 2012

Poleni sana wana UDOM ambako marehemu alikuwa anafanya kazi.

Poleni sana ndugu, jamaa na marafiki.

Marehemu ameondoka akiwa bado kijana mdogo sana


ZAIDI:

1. He was an Advocate of the High Court Of Tanzania and subordinate courts thereto save for Primary Courts and he was sworn in very recent something like 2015 or 2016 if am not mistaken.

2. He was a Lecturer at UDOM.

3. Nilimuacha chuo UDSM. Yeye alimaliza pale Kitivo in a Class of 2012 na kina Jebra Kambole.

4. Sometimes in 2010/2011 aliwahi kugombea urais wa DARUSO but kura hazikutosha.
Nadhani waliopita UDSM miaka hiyo hapo juu especially ndugu zangu 'wasomi' watakuwa wanamfahamu.

5. Chanzo cha kifo chake: Alipata uvimbe kwenye ubongo. Mwaka Jana alienda kufanyiwa upasuaji India then akarejea Tanzania.
FB_IMG_1552813893649.jpg


=======


UPDATES

1: Wakili Mlwafu alianza kusumbuliwa na matatizo ya kichwa pamoja na usahaulifu na alianza matibabu tartibu mwezi wa 6/2018

2: Ilipofika August oktoba alianza kupoteza kumbukumbu na alipofika Muhimbili walibaini ana uvimbe kichwani.

3: Mwezi Novemba Ndugu wakimfikisha Hospitality ya Taifa Muhimbili na kugundulika kwamba an Uvimbe kichwani na walipanga kumfayia operation mwezi Januari na kuanzia August alizuiwa kabisa kutumia Simu.

4: Ndugu walipoona Hali mbaya wali Mkimbiza India ambako ilibainika kwamba Uvimbe ule Ni kansa na matibabu yamechelewa hawezi kupona hivyo akarejeshwa Tanzania.

5: Aliendelea kupata matibabu ya kumpa Tahafif na Hali ilibadilika kuwa mbaya siku tano zilizopita na amefariki dunia Nyumbani kwake Dodoma.

6: Mipango ya mazishi inafanywa na tutaoa a update na Mazishi yatafanyika Tukuyu nyumbani kwa wazazi wake kati ya jumatatu au jumanne baada ya kuwasiliana na Muajiri wake.

Hii ndiyo Taarifa rasmi kutoka kwa shemeji wa Marehemu MH.Adv.Fredy Kandonga
 
Inna Lilahi wa Innah Lilahi Raajun.

Poleni sana alumni wa Udsm.

Poleni sana wana kitivo a class of 2012


Poleni sana wana.Udom ambako marehemu alikuwa anafanya kazi.

Poleni sana ndugu,jamaa,na marafiki.

Marehemu ameondoka akiwa bado kijana mdogo sana


NYAMA

1. He was an Advocate of the High Court Of Tanzania save for Primary Courts and he was sworn in very recent something like 2015 or 2016 if am not mistaken.


2. He was a Lecturer at Udom.

3. Nilimuacha chuo Udsm. Yeye alimaliza pale kitivo in a class of 2012 na kina Jebra Kambole.

4. Sometimes in 2010/2011 aliwahi kugombea urais wa Daruso but kura hazikutosha.
Nadhani waliopita Udsm miaka hiyo hapo juu especially ndugu zangu ' wasomi ' watakuwa wanamfahamu.

5. Chanzo cha kifo chake. Alipata uvimbe kwenye ubongo. Mwaka Jana alienda kufanyiwa upasuaji India then akarejea Tz.

Kabla ya kwenda kufanyiwa upasuaji bakuli la mchango wake lilipita kwenye magroup mengi ya WhatsApp ya alumni wa Udsm na kwenye social networks.

Kama unaleta habari kama hii hakikisha imekamilika...sio wote wanamfahamu huyu aliyetangulia...
 
Back
Top Bottom