Lugha inasaidia nini katika ukuaji wa uchumi

Lugha inasaidia nini katika ukuaji wa uchumi

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
Hello JF!

Mara kwa mara kwenye debates humu zinazohusu lugha ipi ifundishwe mashuleni huwa mnasema lugha ya kiingereza sio lazima as sehemu Kama China, Singapore wanajiweza kiuchumi na hawatumii lugha ya kiingereza. Leo ningependa kujua nini role ya lugha kwenye Uchumi?? Namaanisha je kote lugha ya kiswahili iwe ndio lugha ya kufundishia kuanzia vidudu mpaka vyuoni, AU kiingereza kitumike kuanzia vidudu mpaka vyuoni, hili linge contribute vipi kwenye uchumi wetu??


Uzi tayari 😊😊🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️👀👀
 
Mosi, Kurahisisha mawasiliano katika biashara, kilimo, n.k Mfano unabidhaa unahitaji kutafutwa solo NI lazima utatumia lugha I'll kuwafikia wateja wako. Biashara ikifanyika ndipo uchumi wako utakapoimarika.

Pili,Ajira, Wapo watu wamejiajiri kwa kufanya Kazi za kikarimani. Mtu anapokuwa na ajira ndivyo uchumi wa Nchi utakavyokua. Mtu MWENYE ajira ataweza kulipa Kodi n.k

Tatu, Upatikanaji wa pesa za kigeni KUTOKA kwa watakaokuja kujifunza lugha ya KISWAHILI. au yoyote ile.

Nne, Kutumia lugha kuhamasisha SHUGHULI za kimaendeleo ya kiuchumi mfano, Kilimo KWANZA n.k


Tano, Kupitishia Elimu mbali mbali mathlani kampeni ya afya ya mama na mtoto,Uzazi wa moango, Ili uchumi ukue Tunahitaji Taifa lililoelimika na Tena lisilo na wanachi wenye afya za mgogoro.


NILIKUWA NAJARIBU TU , NGOJA WATAALAMU WAJE😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Kila lugha inajitosheleza cha msingi tu iwe ina uwezo wa kukidhi mahitaji ya mawasiliano. Pia kuna utofauti kati ya lugha ya kufundishia na maarifa yenyewe. Mfano kuna maandishi ndani ya kuta za pyramids ambayo sio kiingereza wala kichina lakini ni taarifa . Africa na tz ka ujumla elimu yetu kwa sehemu kubwa imekuwa ni ya mapokeo hatufanyi ugunduzi mpya sisi tunakariri ambayo yameshafanywa hata historia yetu tu imeandikwa zaidi kwa vitabu vya kiingereza ukiringanisha na kiswahili. Sababu kubwa ni kwamba maarifa Mengi na tafiti nyingi zimefanywa na kuandikwa kwa lugha ya kiingereza (a lot of knowledge is highly documented in English) kwa hiyo ukitaka maarifa kwa kiswahili itakupasa utafsiri vitabu na machapisho Mengi sana ambayo kwakweli kila siku yanahuishwa na pia utunge misamiati mipya kila siku kwa ajili ya kukidhi maarifa mapya yanayokuja kila siku kitu ambacho pengine ni kupoteza muda ukilinganisha na kujifunza kiingereza arafu ukaelewa maarifa yanayoelezwa kiingereza.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom