Ukitaka kujua hali ya watumishi wengi kwa sasa,subira mishahara itoke uone jinsi wahangaika kulipa madeni kiasi kwamba hata ile sheria ya moja ya tatu imebaki jina tu.
Mtu anadaiwa kwenye vikoba...
Mbona Mo Dewji tajiri wa wanarobo fainali CAF African Championship,haonekani kwenye kamati ya Daudi licha ya kuteuliwa ujumbe?
Nimeona watu wakiipuza kamati kwa hisia kwamba ni kiki za kisiasa...
Hakunaga uchawi duniani tuache kudanganyana na kunyweshana chai kwa visa vya kutunga..Mimi nauhakika hakuna uchawi ndo maana mpaka Leo hii sijawahi kukutana na uchawi..watu wengi wanaoamini Kama...
Mada inajieleza.
Kuna watumishi wa umma aidha kwa sababu ya maslahi duni, ulevi, ushirikina au uzinzi wamechoka kimaisha mpaka unashangaa.
Yaani mtu kapauka ngozi, uso umechoka kwa mawazo, nguo...
Mwandishi wa Gazeti la Majira, Mashaka Mhando, ametiwa mbaroni na kuendelea kuhojiwa kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali na madai ya kuandika habari za upotoshaji kuhusu uzinduzi wa Mwenge...
Habari wakuu.Naandika malalamiko yangu juu ya baadhi ya benki kuchelewa kurudisha(reverse) miamala iliyokosewa kwa wakati.Yapata mwezi sasa dada yangu alituma pesa kutoka benki fulani kwenda benki...
Toka nianze kufuatilia hizi tuzo mara 2 nashuhudia wanaoshinda wengi ni wanawake tu,
Mbona kuna wanaume kibao wenye ulemavu na hivyo vigezo wanavyo?
Badlini jina liwe I CAN AWARDS 4 WOMEN
Wakuu habari zenu,
Kwasasa hali ya mvua hapa nchini si nzuri. Kuna baadhi ya maeneo mvua huanza kunyesha mapema tu mwishoni mwa mwezi wa pili na mwanzoni mwa mwezi wa tatu lakini kwasasa hayo...
+255693364917
Wadau nilipigiwa simu na hii namba jana asubuhi nikiwa kazini nikashindwa kuipokea ila kila nikiipigia naambiwa si sahihi.
Katika kuipa umakini wadau wananambia namba zenye mfumo...
IDARA ya Uhamiaji mkoani Kagera inakusudia kuwafikisha mahakamani watu watano akiwamo Mwenyekiti wa Kijiji cha Rwagati katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba, Joseph Kinyonyi, kwa tuhuma za...
Naibu Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mhe.Hamad Yusufu Masauni amemuagiza Kamishna Jenerali wa Magereza kuwasimamisha kazi askari wanne wa jeshi la magereza katika Gereza kuu la Luanda jijini...
Terehe 22 mwezi Marchi kila mwaka ni siku ya maazimizo ya maji duniani
Lengo kuu ni ni kuangalia umuhimu wa maji safi na njia madhubuti za kuhakikisha vyanzo vya maji safi vinatunzwa na...
Habari wakuu wa jukwaa;kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Leo nilikuwa Dodoma tena baada ya kuondoka kwa muda kama wa wiki 2 hivi...sasa kitu kilichonishangaza ni kuona watu wanakamatwa mchana...
Leo nimeota Bashite KAFA kushtuka asubui bashite mzima nimetamani kurudi kulala ni enjoy msiba wake
Afe tu huyu mtu watu tunywe bia
Sent using Jamii Forums mobile app
Licha ya kua raia wa kipato cha kawaida tu kuna watu watoto zao hawapewi mikopo ya elimu ya juu kosa lao eti kusoma shule za binafsi.
Inatia uchungu kuona hao hao baraza la mikopo elimu ya juu...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Dk. Bashiru Ally anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kukomaza Demokrasia katika Mkoa wa Dodoma ambao utakwenda sambamba na ugawaji wa Ilani...
Swala hili lipo Mbeya Rungwe Kiwira kata ya Ikuti katika shule ya msingi ikuti.
Wazazi wote ambao watoto wao wameingia darasa la kwanza mwaka huu ni lazima wapeleke tsh15000 la sivyo watoto wao...
Kiukweli hii route inalipa sana maana nchini na majirani zetu wengi (Congo DR, Rwanda, Burundi na Comoro) ndo destination yao kubwa. Tafadhali fikirieni pia kwenda Dubrovnik, Croatia.
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to the Almighty. Leo wazo langu lipo kama hivi;
Wanaomiliki vitambulisho vya...
Katika eneo letu hapa Dar es Salaam, maji yamekuwa aidha yanakatika menyewe au yanakatwa na mamlaka husika mara kwa mara ila bomba linatoa upepo kwa maana mashine ya kusukuma maji inafanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.