Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tanzania na Misri zimeweka historia nyingine ya ushirikiano baada ya kutia saini hati ya makubaliano ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata nyama na mazao mengine ya mifugo kinachotarajiwa...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Nimekuwa naona baadhi ya vijana siku za hivi karibuni wanaongezeka Sana kuikashifu nchi yao ya Tanzania kwenye mitandao ya kijamii. Unafikiri nini dawa ya vijana Kama Hawa?
2 Reactions
72 Replies
6K Views
Watu kama ndugu, marafiki na wafanyakazi wenzako ni watu wabaya sana na wengi huwa hawapendi maendeleo yako ni vizuri kuwa nao makini na usiwashirikishe kamwe mipango, usiwaamiini. Watu wengi sana...
22 Reactions
46 Replies
8K Views
– Akutwa akiwa amekatwa sehemu za siri na ulimi – Yasadikiwa pia alilawitiwa kabla ya kuuawa Mtoto Fraterin Massawe (11) mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Magereza...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Hapo Moshi mambo ni moto,maduka ya kubadirisha fedha za kigeni yanafungwa muda huu,watu wanakimbizana huku na kule wasijue kinachoendelea. Nitaendelea kuwajuza kinachoendelea
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Wana JF Kuna kitu kikubwa kipo kwenye hili suala la Pierre, kwangu natazama fursa kwenye kila tabia mbaya. Wabobezi wa tabia mbaya kama vile uzinzi, ukora, ulozi, wakigundulika wanaweza wakatusua...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wana JF Nimemsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhusu Ndugu Pierre na mambo yake. Kwanza, nimepata hisia zifuatazo: kwanza pengine hoja aliyoiibua muheshimiwa Mkuu wa Mkoa...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Mh.Makonda @baba_keagan binafsi umejikwaa ,umeteleza kutamka maneno, wanafiki wanaokupigia makofi. Wewe Mh.Makonda ni muumini mkubwa sana wa dini ya kikristo,unasoma biblia kutwa kucha ,najua...
52 Reactions
186 Replies
19K Views
Prof Ken Edwards famous by the name of Joshua Mkhululi who died March 18 will be buried today (Saturday, March 28 ) at a clan cemetery in Kijenge, east of the Arusha municipality. His...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika kutekeleza majukumu yake ya kuhakikisha kuwa Sekta ya Fedha inachangia ipasavyo utulivu na ukuaji wa uchumi nchini, Benki Kuu ya Tanzania ilibaini uwepo wa maduka ya kubadilisha fedha za...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Watu sitao wamejeruhiwa vibaya kwa silaha za jadi huku mmoja wao akifariki baada ya kuibuka mapigano ya kugombea ardhi kati ya vijiji viwili vilivyopo wilayani Monduli mkoani Arusha. Kaimu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi sipo kwenye ilo kundi ila ukweli nikwamba ukiwatizama wahitimu wa kipindi nilichokitaja ukalinganisha na wahitimu wa kipindi iki kunatofauti kubwa sana kuanzia power of reasoning, ata uwezo...
4 Reactions
131 Replies
12K Views
Habari zenu wana familia ya Jamiiforum, Poleni na majukumu yenu ya kutafuta mkate wa kila siku japo kwa wakazi wa Kibondo mkoani Kigoma hali si shwari hasa kwa Wale wananchi ambao hujitafutia...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mweka hazina huyu ametumbuliwa kutokana na matumizi mabaya ya fedha za makusanyo ya ndani. Kufuatia kutumbuliwa kwa mweka hazina huyo, ofisi ilimpatia msaidizi wake barua ya kukaimu hicho cheo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Alama ni kitu muhimu kwenye jambo lolote hasa kwa upande wa mafanikio na ustawi wa kitu, hii hujumuisha hata rangi, wanyama na alama nyinginezo. Kuna baadhi ya nchi kutokana na imani zao kali...
29 Reactions
177 Replies
30K Views
Kichwa cha habari kinavosema kwanini sarafu ya shilingi mia tano yaani Shingi mia tano ya chuma haipati kutu?Tofauti na Shingi,5,10,20,50,100,200 za kitanzania hizi zinapata kutu kwanini?Isipokuwa...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Jana nilikuwa natembea tembea nikafika mahala gari yangu ikamaliza mafuta ikabidi niende sheli nikaweke mafuta wakati dada mmoja ananiwekea mafuta nikawa nimetelemka kama kuingalia gari yangu kwa...
2 Reactions
49 Replies
19K Views
Kesi ya kusafirisha madini pamoja na kutoa rushwa iliyoripotiwa Mwanza imemalizika kwa upande mmoja ambapo wenye fedha wamelipa M500 na kuachiwa huru huku wenzetu na miye au weusi wenzetu (Askari...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amefunga mitambo yote ya kuchenjulia madini ya dhahabu Wilayani Kahama baada ya kubaini udanganyifu mkubwa kwenye uchenjuaji wa madini. Naibu Waziri...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Asalaam. Kama tunavyoona nch imeshabadili tabia yake. Kuanzia halijoto, matetemeko mpaka ukame...nchi imebadilika. Lakini sasa na wakalia nchi wamebadilika pia,watu na wanyama wamebadilika. Siku...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom