Amani iwe nanyi... jmn naomba kuuliza ni kitambo kidogo sijasafir kwenda Arusha. kwa wenye kutumia usafir wa mabasi ni magar gani mazur kuelekea huko kwa sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama na matukio ya utamaduni wetu.Watu wengi awali walikuwa waking alia...
Leo niliingia mahakama Kuu Moshi katika usikilizaji wa kesi ya mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi wa shule ya Scolastica inayowakabili watu watatu akiwemo mmiliki wa shule, Bwana Edward Shayo...
Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama na matukio ya utamaduni wetu.Watu wengi awali walikuwa waking alia...
Niseme kwamba Yanayo husiana na taaluma tuwaachie wenyewe, kuna technical terms (maneno ya ki taalam) ambayo huwezi kuyabadilisha na kutaka wewe yaitwe kama unaweza kuyaita, ndio maana kuna...
Kuna wakati huwa nacheka mwenyewe tena kwa sauti
Unakuta mganga anamwambia mgonjwa eti Lete kuku, mbuzi ng'ombe nk.
Lakini sijawahi sikia au kuona amemwambia mgonjwa eti niletee tembele au...
Hello Wana GT wa JF, Kwanza kabisa nawashukuruni Kwa ushauri wenu kuhusu hii TV aina ya Evvoli, Hasa ndugu Jiwe Angavu na Merengo 90 Kwa ushauri mzuri waliotoa ,Kwanza kabisa hii TV haipatikani...
Inafikirisha sana hii mamlaka ya hali ya hewa nchini.
Ukame January hali ya mvua siyo nzuri, mamlaka haikutoa taarifa. Baadae walitoa taarifa kuwa mvua za masika zitaanza wiki ya kwanza March...
Kwanza hongera kwa kwenda sambamba na ilani ya CCM katika kuwatumikia Watanzania.
Ninakuandikia barua hii baada ya kuchoshwa na mwenendo mbaya wa baadhi ya watumishi katika Idara ya Elimu...
Hawa FAIDIKA / LETSHGO wamekuwa na dalili ya utapeli kwa kukata pesa za wateja waliomaliza madeni katika mishahara yao kwa makusudi.Mteja anapofuatilia kurudishiwa makato yake inakuwa usumbufu, na...
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi. I see no future mbele yangu.
Nilipitia majaribu tangu nazaliwa. Sina furaha kamili na huwa nafanya...
Katika kusoma taratibu za kulipia huduma za kuweka maudhui mtandaoni blog zilizokusudiwa ni zipi?
Maana wamesema zinazohusika na Current Affairs and news hapo wanakusudia nini?
Je, hadi blog...
Pengine nimekuwa nyuma ya hii habari,
Hata hivyo napenda nimjue huyu mfanyakazi wa TRA aliyekata rushwa ya Mamilioni toka muhindi lkn pia nijue kiasi aliahidiwa kupewa au alipewa na ni nani huyo...
Imepita muda sasa Azamtv kupitia online app yenu mmeitoa channel ya azamsport, hivi karibuni pia mmeitoa ZBC2. Kwa kweli mnaumiza walio nje ya nchi maana ndio mlikuwa faraja yetu hasa kwa wapenzi...
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amezindua mbio hizo katika uwanja wa Mlowo na kuwataka wakimbizaji kuhakikisha miradi yote inayozinduliwa wakati wa mbio hizo inakua na ubora unaotakiwa...
Wana jamvi naomba mnisaidie solution la karo la maji machafu kujaa maji baada ya muda mfupi., yaani nikileta lile gari kubwa kunyonya baada ya mwezi linajaa na matumizi ya maji sio mengi kiasi cha...
Nimetorokwa na housegirl Ubungo Leo. Jana usiku kanigongea akaniambia kafiwa na mama yake mzazí huko mashewa Tanga nikampa 50,000 kama nauli. Baada ya yeye kutoka asubuhi nikabadili mawazo ili...
Kwanini watu hawa wana pesa nyingi sana wakati hata shule hawajaenda pesa hizi wanazitoa wapi? Kwa mfano mabasi yote ya Mwanza Bukoba ni yao ukitoa machache ya waarabu. Mabasi yote ya mwanza Mbeya...
Tukiwa tunaelekea kwenye siku ya wajinga duniani Tukio gani Unalikumbuka kwenye Siku kuu hii ya wajinga?
Nakumbuka wakati nasoma primary kuna jamaa alimfata mwalimu wetu wa darasa na kumuambia...
Habari wanajamvi.
leo ndo siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana na wakazi wa DAR kuanza kutumia mradi huu wa mabasi. Jumanne na kesho jumatano itakua bure kusafiri.tupeane updates za mabasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.