Kwa kielelezo hiki cha Pierre, tabia mbaya imekua ni fursa

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,504
30,916
Wana JF

Kuna kitu kikubwa kipo kwenye hili suala la Pierre, kwangu natazama fursa kwenye kila tabia mbaya. Wabobezi wa tabia mbaya kama vile uzinzi, ukora, ulozi, wakigundulika wanaweza wakatusua kama ndugu yangu Pierre. Ni suala la muda tu, tujitahidi kuonyesha tabia zetu mbaya hadharani
 
Unanionea tu hatima yangu naijua sana ....ni kifo tu!kama hujui yako ni wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote maskini huwa Wana wivu Sana na watu wabaya mno,... Tatzo ni mafanikio ya Pierre na Wala si unywaji pombe wake,

John walker Sanaa yake ya mziki ilikuaje?, Mbna hakusema,.. shalobaro vipi
Muacheni Pierre ni zamu yake pambana utoboe ila Sio kumuonea wivu mwenzako
 
Poa poa mkuu!Tajiri nitoe basi nianze kuchoma mahindi.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Unataka watu wote wawe walokole!?? Ndio dunia ilivyo, kuna kila aina ya watu : wachekeshaji, wafanya vituko, wafia dini, wehu, nk.

Usitake kujitia kiranja hapa? Kwahiyo unataka kubadilisha maisha yao ama?

Pambana na hali yako ngumu ya maisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka watu wote wawe walokole!?? Ndio dunia ilivyo, kuna kila aina ya watu : wachekeshaji, wafanya vituko, wafia dini, wehu, nk.

Usitake kujitia kiranja hapa? Kwahiyo unataka kubadilisha maisha yao ama?

Pambana na hali yako ngumu ya maisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwanini unahisi kila mtu ana hali ngumu ya maisha?
 
Hizi ndo takwimu za miaka michache iliyopita...wacha watu wawe maarufu..mtakufa na wivu wenu...jamaa hajamtukana au kumkashifu mtu yeyote...ye anafanya yake tu ila kuna mijitu inakasirika utafikiri anawapotezea riziki zao..
IMG_20190401_093151.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ni kitu cha ajabu sana na wewe usiwe mwenyepesi wa kusahau kilichompata walihoba pale Ubung plaza
Wana JF

Kuna kitu kikubwa kipo kwenye hili suala la Pierre, kwangu natazama fursa kwenye kila tabia mbaya. Wabobezi wa tabia mbaya kama vile uzinzi, ukora, ulozi, wakigundulika wanaweza wakatusua kama ndugu yangu Pierre. Ni suala la muda tu, tujitahidi kuonyesha tabia zetu mbaya hadharani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tabia ipi ya hovyo kati ya kumpiga makofi na mitama mtu mwenye umri sawa na baba yako mbele za watu. Mtu aliyeshika nyadhifa ya pili kwa madaraka makubwa kwenye nchi ,au
Kunywa pombe na kucheka na watu huku ukifurahi na kuhamasiaha uraifa na uzalendo kwa Taifa na Timu yake!??

Hivi nani msafi??
Ni wangapi wanatembea na mahirizi mifukoni na kushinda kwa Wachawi na waganga kutafuta umaarufu lakini wamejificha na kujifanya wachamungu huku wakipewa heshima kubwa na vyeo vikubwa na kuneemeka kwa kodi za wananchi.

Wangapi wanafanya tabia za hovyo kabisa kwa siri bila kuonekana kama Pierre anayeonekana live bila kificho ??

Hata hivyo sio vizuri kumwita mtu na familia yake kuwa ni mtu wa hovyo kama vile anakula na kulala kwako .

Ngoja wenye tabia zao waje
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom