ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Asalaam.
Kama tunavyoona nch imeshabadili tabia yake. Kuanzia halijoto, matetemeko mpaka ukame...nchi imebadilika.
Lakini sasa na wakalia nchi wamebadilika pia,watu na wanyama wamebadilika.
Siku hizi paka hawali panya,wanakula chipsi.Siku hizi watoto hawaogopi wazazi wananahaki sawa,wanaume hawatongozi,wanatongozwa.hawaoi wanaolewa.
Wanawake siku hizi hawana aibu za kike,ukijichanganya tu anaomba hela.
Mabadiliko ya tabianchi hayo.!fanya viroja uwe maarufu.
Nchi imebadilika tabia na vilivyo ndani yake,tujiangalie isituache.
Sent using Jamii Forums mobile app