JESHI la Polisi mkoani Kigoma limewauwa watu watatu wanaosadikika kuwa ni majambazi na kukamata risasi 42.
Inaelezwa majambazi hao walikuwa wamejipanga kufanya uporaji katika baadhi ya nyumba za...
Ombi tu kubwa ni kwamba tubadilike sasa badala ya kutumia muda wetu mwingi katika kutafuta ' Misifa ' hasa kwa waliotuamini au kwa Wakazi wako ili tu Jina lako liwe kubwa na ukubalike basi...
Kituo Cha Clouds TV Leo Kimeshindwa Kurusha Mubashara Mahojiano Na Mwanachama Mpya Wa ACT Wazalendo, Seif Sharif Hamad Kwa Walichodai Ni Sababu Zilizo Nje Ya Uwezo Wao.
Mdau Wa JF Unafikiri...
Walevi (wanywaji) wanajuana sana.
Wanywaji wana connection na mshikamano wa hali ya juu sana.
Mjini Kati wanajuana huyu anapenda hiki na anapenda sehemu fukan.
Wakikaa mahali utaona wanaitana...
Habari wadau. Pamoja na changamoto nyingi za foleni tunazokutana nazo (especially kwa wakazi wa Dsm) ambazo kwa namna moja au nyingine zinachangia kukwamisha au kupunguza ufanisi wa kazi zetu...
Kwamba ukimjali msichana wa kazi atawajali watoto wako
Pia ni vema kujua historia yake
Mwelimishe majukumu yake
Mpe huduma anazo stahili
Usimtenge mfanye awe sehemu ya familia
Habari zenu!!
kumekuwepo na ripoti nyingi za kutenganisha viungo/operesheni ya viungo vya watoto wanaoonekana kuzaliwa na jinsia mbili kwa kuondoa au kubakiza moja yenye nguvu!
Kwanini...
Mwaka 2010 kupitia BBC kuna mkenya aliulizwa kuhusu siasa za TZ na Amani yetu tukufu. Alijibu kuwa waTZ ni either wajinga au hawajui haki zao kabisa. Ilipita miaka mingi sikuwahi kuelewa hili jibu...
Habari za weekend wanaJF wote. Mnaweza kushangazwa na mada yangu hapo juu, lakini mnivumilie kwani ni mtazamo tu nilionao.
Kutokana na purukushani za siasa za nchi yetu, nafuatilia kwa kiasi...
Mikoa mingine ukinunua karedio kako ka mkulima, ukiwa unalima zako unaweka tu juu ya mti unaendelea kula magoma moto.
Rombo ukiwasha tu Radio utasikia Milele Fm ya Kenyaa.
Sehemu chache sana...
Nilisema, ninasema na nitasema daima kuwa panya anatuzidi akili kwenye chakula. Anajua na kuheshimu sana virutubisho kuliko harufu au nakshi ya chakula hicho.
Mfano hai utauona kwenye ghala la...
Habari zenu wakuu
Nauliza hv serikalini kama watu mpo kwenye nafasi zinazofana lakini mnatofautiana elimu mnalipwa mshahara sawa?
Mf.Prof ndalichako VS J.Mhagama wote mawaziri
Dk Possy VS Mangu...
Wanajamvi....
Natumai akili zenu zitakua zimetulia kwenye asubuhi hii murua kabisa yenye hali ya hewa mwanana...
Wiki hii tulibahatika kuona ama kusikiliza shughuli ya kuapishwa kwa balozi wetu...
Habari zenu wakuu samahani naomba kuuliza upatikanaji wa pasi za dharura ukoje,ni vigezo vipi vinahitajika ili niweze kuipata,gharama ,na inachukua mda gani kuiprocess
Sent using Jamii Forums...
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya kilimo ameiagiza serikali kuhakikisha inawalipa wakulima wa korosho madai yao yote ifikapo 31/03/2019 bila visingizio.
Mama Ishengoma amesema hayo wakati kamati...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema kuwa hafahamu kama Balozi wa Zambia kama ameshaondoka kwasababu wamekuwa wanaaga aga mwisho wa siku wakimaliza kuaga watajikuta...
Ndugu naomba kuuliza tu kuwa suala la Rais kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za wafanyakazi ni la lazima?
Waziri anayedeal na Utumishi wa umma mimi naona anatosha na si kumsumbua Rais, mnajua Rais...
Habari za mda huu waungwana...
Poleni na michakato ya maisha
Niende kwenye mada
Juzi mother alinipigia simu kuwa kuna barua kapata kutoka shule kuwa dogo kuna msala kafanya sasa wazazi inabidi...
Mvua za masika maeneo mengi hakuna hadi sasa. Mazao yanakauka mashambani. Sina kumbukumbu ya kusikia mamlaka ya hali ya hewa wakilisemea hili na kushauri chochote hivi karibuni. Wakulima wameanza...
Nimejiuliza nikaona niwashirikishe na nyie.
Hivi huwa na faida zipi mtu huzipata kupitia picha zake yeye mwenyewe au za familia yake (baba, mama, dada, kaka, mtoto)
Baada ya kuzipost kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.