kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kesi ya kusafirisha madini pamoja na kutoa rushwa iliyoripotiwa Mwanza imemalizika kwa upande mmoja ambapo wenye fedha wamelipa M500 na kuachiwa huru huku wenzetu na miye au weusi wenzetu (Askari polisi) wakipoteza kazi na Bado wanasota rumande wakisubiri kushinda au kushindwa kesi hiyo.
Zipo ngozi ambazo hazikuzaliwa kukaa ndani na ndizo hizi ambazo zimelipa 500M na kurudi uraiani na kuendelea na maisha. Kwao kukiri kosa siyo big issue Cha msingi wawe huru..ila sisi weusi tutaozea ndani na naamini mwisho wa siku baadhi ya Askari hao watabainika hawakuwa na hatia ila lini Sasa....
Wenzetu polisi siku zote wamekuwa wakituona sisi weusi wenzao kama wahalifu wakubwa na kutupiga kama ng'ombe lakini wanashindwa kuelewa kwamba wameajiriwa kutulinda na siyo kutukandamiza.
Wanavyowapiga wananchi bila hatia wakiamini wanalindwa na sheria wakumbuke nao kibao kikigeuka watakuwa raia na wataumizwa kuliko hata walivyokuwa wanaumizwa.
Sent using Jamii Forums mobile app