Fedha za kichawi kumbe zipo

Fedha za kichawi kumbe zipo

iphone 18 promax

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,921
Reaction score
2,161
Jana nilikuwa natembea tembea nikafika mahala gari yangu ikamaliza mafuta ikabidi niende sheli nikaweke mafuta wakati dada mmoja ananiwekea mafuta nikawa nimetelemka kama kuingalia gari yangu kwa nyuma nilihisi kuwa labda jamaa mmoja amenikwaluza nikiwa naandalia gari nikaonana na jamaa ambaye tulisoma naye chuo mimi nikawa nimepata kazi ya kuajiliwa nataka kuondoka jamaa ana hammer yake tukaenda hoter mmoja yenye ghalama ile mbaya tukakaa nikaanza kuuliza vipi bwana pesa ulipata wapi
jamaa akaanza kucheka sana akasema kuwa kama nataka utajiri nimwambie tu anipe nikamwambia kuwa hebu nipe jamaa akasema kuwa anipeleke kwa mganga ambaye atanipa dawa ya utajiri ambayo kafara yake ni wanawake wenye tamaa na hela tu wewe unamwita demu tu akishakuja tu wewe unampa hela halafu unaanza kumwambia kuwa baby nimepigiwa simu poa niende ila usitembee naye tu hela zako zinaanza kuongezeka tu na yeye ataandamwa na matatizo mengi sana
nilichojifunza jana kumbe wanawake wanaopenda hela wanashida sana imebidi leo nipige maombi kabisa jamaa baadae nikamuacha ili niwahi nyumbani leo
 
Naomba nikonekt na huyo jamaa, mi nazihitaji hizo pesa!
 
Poor Tanzanians. Shame on you.

So let’s see here….

You think witches are powerful enough to give you monies?
…yet witches could not stop asking you for monies

…and this whole thing morphed into witches can give you monies
Is it some mental disability that makes educated people migrate to witches/witchcraft...?

…or is it poverty that make them morph into diabolical needs?


 
Naomba nikonekt na huyo jamaa, mi nazihitaji hizo pesa!
Nyanidume..Vigezo na masharti kuzingatiwa Mzazi...chondechonde mm haya masharti yatanishinda labda nikahasiwe ...
akasema kuwa anipeleke kwa mganga ambaye atanipa dawa ya utajiri ambayo kafara yake ni wanawake wenye tamaa na hela tu wewe unamwita demu tu akishakuja tu wewe unampa hela halafu unaanza kumwambia kuwa baby nimepigiwa simu poa niende ila usitembee naye tu hela zako zinaanza kuongezeka tu
 
Last edited by a moderator:
Vigezo na mashariti kuzingatiwa icho cha kuto tembea nao kimenishinda
 
Alikuficha huyo hata wanaume wapenda ofa nao inakula kwao.So ingeza maombi hapo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ninaanza kuelewa kwa nini wazungu wanatutania kwa kutuita nyani,aiingii akilini kwenye karne hii bado kuna watu wanatafuta maendeleo kichawi
 
Ama kweli watanzania sasa tunaelekea kubaya,wakati wenzetu wanazidi kusonga mbele ktk zama hizi za sayansi na teknolojia,sisi tunazidi kurudi kwenye zama za ujima.Hivi karibuni maeneo ya mbezi temboni niliona bango la mganga wa kienyeji akidai anaongeza uwezo wa kuelewa masomo darasani.Kuna jamaa mmoja alisema kwa jinsi ujinga unavyozidi kuenea,ukijumlisha elimu ya kila mtanzania ukagawanya kwa idadi yetu,kila mmoja atakuwa na elimu ya chekechea
 
Chezea waganga wewe!!! Leo atakwabia niletee msichana pesa zikikukolea atamuhitaji mama yako au umauti ukukute na ufilicke
 
Kaaazi kweli kweli! Katika karne hii ya kidigitali bado kuna watu wanawaza kwa namna hii.
Wenzetu wanafanya utafiti ktk anga za juu; Afrika kuna watu wanawaza kupewa hirizi na waganga ili watajirike!
Mwee; asiyefanya kazi na asile.
 
Kuna jamaa mmoja alisema kwa jinsi ujinga unavyozidi kuenea,ukijumlisha elimu ya kila mtanzania ukagawanya kwa idadi yetu,kila mmoja atakuwa na elimu ya chekechea

Mamaaaaa mbavu zangu....teh teh teh teh...chekechea...uwiiii
 
Ebu nipe contact za huyo mshikaji kwa pm
 
Back
Top Bottom