Mrejesho, TV aina ya Evvol,

Mrejesho, TV aina ya Evvol,

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,787
Hello Wana GT wa JF, Kwanza kabisa nawashukuruni Kwa ushauri wenu kuhusu hii TV aina ya Evvoli, Hasa ndugu Jiwe Angavu na Merengo 90 Kwa ushauri mzuri waliotoa ,Kwanza kabisa hii TV haipatikani Kilimanjaro Au Arusha mpaka Dar ndio Kuna Agent wa hii TV.Jana ndio nimeipata na ku install Kwa DSTV Kwa kweli iko powa kabisa,TV yenyewe Ni Inches 55"ASANTENI. Bei yake Ni 1.8milion mpaka ifike Kilimanjaro, asanteni sana ,
IMG-20190402-WA0037.jpeg
IMG-20190402-WA0033.jpeg
20190401_232552.jpeg
20190401_233903.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nikajua unaenjoy awesome features za evoli over other manufactures ndo ukaamua kutoa mrejesho.

Kumbe unatoa mrejesho kwa kuwa hizo TV hazipo Moshi wala Arusha so umeagiza dar na imefika salama.

Asante kwa mrejesho [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Mkuu yaani Najitahidi hata niingie You tube lakini imenishinda ,yaani pamoja na hiyo iko vizuri .Nahitaji keyboard na mouse ili niwe na type tu nikishajua kuingia you tube.
Mm nikajua unaenjoy awesome features za evoli over other manufactures ndo ukaamua kutoa mrejesho.

Kumbe unatoa mrejesho kwa kuwa hizo TV hazipo Moshi wala Arusha so umeagiza dar na imefika salama.

Asante kwa mrejesho [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Siyakukothamela Sonini na nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina nini cha ziada ambacho kwenye Tv zingine hakuna hasa samsung na lG

Wa sukumaland
 
Mchina anacheza na akili za watu tu, ni kama mambo ya tecno na infix , ndio unayoyapata evvol na star x, sijui boss
 
Back
Top Bottom