Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pierre liquid ,konki liquid kwa asilimia kubwa ya watanzania kwa sasa wanamfahamu Pierre ni nani katika tasnia ya sanaa. Wanasema hapo mwanzo Pierre alikua mlevi kiasi kwamba hakuna aliyeweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nataka kuhamisha mkopo wangu toka crdb kwenda boa ambao wanatangaza kukopesha kwa 9% tu... Naomba uzoefu wenu kabla sijafanya maamuzi.. Mikopo yao iko vipi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Boda boda nyingi hasa maeneo ya vijijini na miji midogo hazina bima iliyo hai. Ukiuliza unaambiwa boda boda zimesamehewa kukatiwa bima. Niwaulize hahusika (Polisi usalama barabarani/SUMATRA)...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Hata Mimi sikujisikia vizuri siku ile . Huyu kijana naye ni binadamu anahitaji heshima na kuthaminiwa . Naamini hata yeye hakujisikia vizuri. Kila mtu ana mchango wake katika taifa hata kama Si...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hili la profesa Assadi kusimamia ethics za professional yake limedhihirisha hawa jamaa ni thabiti sio watu wakupindisha ukweli, na hawana majivuno yasioyo na msingi. Assadi kanifanya nikumbuke...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu spidi yangu ya kusoma mwaka huu iko chini sana . Mpaka sasa kwa mwaka huu nimeshasoma vitabu viwili tu yaani. 1. The power of subconscious mind ,by Dr Joseph Murphy 2. Think and grow rich...
5 Reactions
85 Replies
7K Views
Toka juzi nimeona mabadiliko kwenye kurasa mbalimbali zilizopo ndani ya Jamii Forums, ndio kwa maana nikasema Mpo Juu namtabaki kuwa Juu Milele! ! ! Vipo vingi nilivyoviona na nimevikubali moja...
0 Reactions
4 Replies
802 Views
Nimetoka kutazama matangazo ya kampeni ya Tokomeza Zero iliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo. Nikavutiwa nayo. Hata hivyo, nimeshangaa kuona kampeni hii imeweka focus kwa...
3 Reactions
82 Replies
15K Views
Leo nimetafakari tukio lilitokeaga kipindi cha kikwete, Kipindi hiko Rais anaziara ya kikazi mikoa ya kaskazini msafara ukafika kwenye kituo kimoja cha mafuta cha tajiri mmoja wa.kichaga ambae...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Mzee wa Upako Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo alimaarufu kama 'Mzee wa Upako' amefunguka na kusema mtu kufa maskini si jambo la kusifiwa hata kidogo kuwa ni uzalendo bali...
8 Reactions
56 Replies
9K Views
Inauma sana vodacom mmechangia hela yangu kupotea. Jana nimehamisha hela kutoka bank kwenda mpesa bahati mbaya nikakosea namba na kurusha kwenye namba tofauti. Nimewaomba nyie vodacom mzuie namba...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linamshikilia mkazi wa mtaa wa Vitendo katika kata ya Misugusugu wilayani Kibaha, Pwani, Robison Ernest (33) kwa tuhuma za kumwua kwa kumnyonga mtoto wake wa Modesta...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Sio jambo la kawaida kwa kiongozi kutekeleza ahadi baada ya kuondoka kwenye nafasi yake. Huyu ameonyesha uzalendo na upendo wa hali ya juu. Viongozi wengine wanalo la kujifunza kwake. Sent using...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
KUNA AINA MBILI ZA MAARIFA. Kuna aina mbili za watu SMART yaani kuna aina mbili za maarifa yanayomfanya mtu Smart. Kuna kitu kinaitwa BOOK SMARTS na STREET SMARTS. Book Smarts ni maarifa...
33 Reactions
68 Replies
8K Views
Haiwezekani, pamoja na changamoto kubwa ya ajira unawaona walioko Maofisini hawawajibiki ipasavyo. Unakwenda ofisini unamueleza muhusika shida yako yeye yuko mbaaaali, anaitika Mara mbilimbili...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
*"Mwanangu sikwambii uache kusoma au uache kazi lakini ukikutana na Fursa nzuri usiiache kamwe."* *"Mwanangu utamaliza Chuo baada ya Miaka 25..."* Jumla ya ada yako tangu unaanza shule mpaka...
9 Reactions
29 Replies
4K Views
Mvua kubwa yaja, TMA yatoa tahadhari ya siku tano Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya siku tano ya kunyesha mvua kubwa inayoweza kusababisha athari ikiwemo...
7 Reactions
80 Replies
11K Views
Nina Mtu mmoja ambaye kiukweli anajua ' Siri ' zangu zote hasa zile ambazo hata Watu wengine mpaka leo hawajazijua na nyingi zikiwa ni za Matendo yangu ya Kishirikina / Kindumba ( Wakongo au...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
TAFAKARI TABIA YAKO MBELE YA JAMII Ng’ombe, akishatoa maziwa ya kulisha familia nzima, hurejea katika malisho yake taratibu. Lakini kuku, akishataga yai moja hupiga kelele ili kila mtu ajue. Je...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau!! Hii tabia imekuwa unanikera mfano mtu anaitwa juma ana watoto 5 basi kila mtoto akizaa mtoto anatakiwa mzae jina la babu yake (juma) mtoto mmoja wapo utafikiri majina yameisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom