Sioni matumaini mbele yangu, nataka kujiua...

Status
Not open for further replies.

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,476
11,628
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi. I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa. Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.
 
Njia za kuondokana na mawazo ya kujiua.

1. Tambua kuwa kuna watu wako hospital wanamajaribu makubwa kuzidi ya kwako.

2. Kuna watu wanakula majalalani lakini Mungu anawalinda na hawana mawazo ya kujuliua.

3. Tambua umeumbwa kwa kusudi maalumu. Tafuta kusudi la wewe kuzaliwa ulivyo na kwanini upitie yote hayo.

4. Tambua kuna maisha baada ya kifo, je ukijiua unajua adhabu yake?

5. Swali au Sali. Kaa karibu na viongozi wa kiroho.

Kubwa kuliko yote, share matatizo yako na watu wanaokuzunguka. Hata wasipokupatia msaada wa vitu, lakini jinsi unavyojielezea inakupunguzia mzigo ndani yako na kukupa relief.
 
Kuna hali inanitokea naona sina thamani wala lolote kwenye hii dunia, sioni dhumuni la kuishi.I see no future mbele yangu.

Nilipitia majaribu tangu nazaliwa.Sina furaha kamili na huwa nafanya juhudi kuwa na furaha. Binadamu mwenzangu namuogopa na namuona ndio anenizidishia maumivu.Wamenitendea ya kutosha ila Mungu kanipa moyo wakusamehe.

Naogopa kujiua ni dhambi, ingekuwa halali mi ningeshaondoka.
Pole sana Mkuu... Jaribu kwenda kanisani mara kwa mara utapata relief

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Njia za kuondokana na mawazo ya kujiua.

1. Tambua kuwa kuna watu wako hospital wanamajaribu makubwa kuzidi ya kwako.

2. Kuna watu wanakula majalalani lakini Mungu anawalinda na hawana mawazo ya kujuliua.

3. Tambua umeumbwa kwa kusudi maalumu. Tafuta kusudi la wewe kuzaliwa ulivyo na kwanini upitie yote hayo.

4. Tambua kuna maisha baada ya kifo, je ukijiua unajua adhabu yake?

5. Swali au Sali. Kaa karibu na viongozi wa kiroho.

Kubwa kuliko yote, share matatizo yako na watu wanaokuzunguka. Hata wasipokupatia msaada wa vitu, lakini jinsi unavyojielezea inakupunguzia mzigo ndani yako na kukupa relief.
asante kwa ushauri mzuri..but sharing my problens na watu...no!
imetossha.nobody cares
 
Usijaribu kujiua ndugu yangu. Nina miezi miwili inaelekea mitatu dada yangu alichukua maamuzi hayo na kutuacha katika majonzi na maswali mengi. Kwa kifupi tumeumbwa na ipo siku tutakufa ila si kwakujinyonga.

Sukumaland
sawa mkuu
 
Ucjal man umeumbwa ili uteseke xo ukitak kujiua unaingilia kaz ambayo c yko xubl mwenye kaz yake atafany unalotak xawa bwana

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom