Songwe: Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amezindua mbio za Mwenge kwa mwaka 2019

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amezindua mbio hizo katika uwanja wa Mlowo na kuwataka wakimbizaji kuhakikisha miradi yote inayozinduliwa wakati wa mbio hizo inakua na ubora unaotakiwa

Kiongozi wa mbio za hizo Kitaifa kwa mwaka 2019 ni Ndugu Mzee Mkongea Ali kutoka Mjini Magharibi, Zanzibar

6.jpeg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasha Mwenge kuashiria kuzinduliwa kwa mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa Mlowo mkoani Songwe.

8.jpg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mwenge kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa kwa mwaka 2019 Ndugu Mzee Mkongea Ali kutoka Mjini Magharibi kuashiria kuanza kwa mbio za Mwenge wa Uhuru 2019.
 
Back
Top Bottom