Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 198
Nimetorokwa na housegirl Ubungo Leo. Jana usiku kanigongea akaniambia kafiwa na mama yake mzazí huko mashewa Tanga nikampa 50,000 kama nauli. Baada ya yeye kutoka asubuhi nikabadili mawazo ili nimsindikize.
Nikampigia Simu anisubiri twende wote hapokei simu. Nilipowajaribu ndugu zake tena kwakuwa hawakupatikana usiku nikawapata na kuwapa pole lakini walishangaa kwakuwa aliyekufa ni jirani tu si mzazi.
Hv sasa anasema kwa SMS yupo Tandika kwa rafiki yake eti atakwenda kesho. Wadau ndo nishalizwa au mauza uza?
Sent using Jamii Forums mobile app