Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,930
- 44,935
Kwanini watu hawa wana pesa nyingi sana wakati hata shule hawajaenda pesa hizi wanazitoa wapi? Kwa mfano mabasi yote ya Mwanza Bukoba ni yao ukitoa machache ya waarabu. Mabasi yote ya mwanza Mbeya ni yao na hawajaenda hata shule wanatoa wapi pesa hizo. Wanapata wapi hela za kujenga maghorofa na kumiliki mitaa iliyojaa maghorofa mfano mzuri kwa mkoa wa Mwanza kuna mzee Shinyanga anamiliki mtaa wa uhuru uliojaa maghorofa yake pekee.
Wanatoa wapi ujanja wa kumiliki hospitali zao binafisi mfano Makoye hospitali wakati hata shule hajaenda. Wako wengi sana ngoja nikutajie wachache uweze kunambia wanatoa wapi pesa hizo, John Bina, Ncheye, King msukuma, Midimu, Luhuye, Batco, Super samy, Super shemu, Katagi expres, Masaba, Njiwa pori, Ndege sera bila kumusahau bwana mdogo Frester naye siku hizi ni hatari ni moto mwingine ule hata kuna yule dogo anayemiliki kumbi za harusi pale Sinza kwa Remy karibu na Mori ndo hao hao kumbi hizo zinaitwa Kwalalumpa hao nimekujia wachache tena ambao hawajasoma bado Kariakoo nako wamejaa.
Swali wanapataje pesa hizo?