Karo la maji machafu kujaa maji baada ya muda mfupi

kamikaze

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
296
250
Wana jamvi naomba mnisaidie solution la karo la maji machafu kujaa maji baada ya muda mfupi., yaani nikileta lile gari kubwa kunyonya baada ya mwezi linajaa na matumizi ya maji sio mengi kiasi cha kujaa muda huo mfupi.
 

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
6,646
2,000
labda aina ya udongo haipitishi maji vizuri mtafute mtu wa ujenzi akupe ushahuri zaidi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom