lingamba lidodi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 964
- 1,137
Inafikirisha sana hii mamlaka ya hali ya hewa nchini.
Ukame January hali ya mvua siyo nzuri, mamlaka haikutoa taarifa. Baadae walitoa taarifa kuwa mvua za masika zitaanza wiki ya kwanza March lakini leo imefika tarehe 22 bila mvua na bila taarifa ya TMA.
Wiki moja baada ya kimbunga Msumbiji, leo wanakuja na propaganda za kisiasa kuwa mvua imepepereshwa na kipunga kilichopiga Msumbiji, Zimbabwe na Malawi.
Swali:
Mbona hawakutoa taarifa kabla ya kimbunga?
Sent using Jamii Forums mobile app