Hili deni mmekua mkinikumbusha kila siku kulilipa kwa zaidi mwaka sasa...........!!!!
Tatizo sio kutuma,,,tatizo ni mda mnao nitumia,,,yani asubuhi SAA moja.
Mi kila siku asubuhi nakatisha...
Waziri wa Sheria na Katiba , dkt ,Agustino Mahiga amesema kuwa tatizo la watu kubambikiziwa kesi na kufungwa bila hatia kutokana na kutojua sheria na haki zao za msingi hapa nchini ni kubwa, hivyo...
Baadhi ya mameneja katika matawi mbalimbali ya NMB nchini wameanza vikao na wastafu tarajiwa
Mameneja hao wanasema makao makuu wamewaagiza kukubaliana na wanaoenda kustafu kuwa
"Wastafu...
Habari wakuu,
Ninatumaini ni wazima na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku.
Nina rafiki yangu alikua ana interview ya kazi Jumatatu na interview ya pili kafanya leo.Sasa huyu bwana...
Mtandao wa SMILE haupatikani na simu zao za customer service hazipatikani wala tovui yao haiko hewani. Wamefunga duka kwa maana ya mufilisi au mvua zimeleta mushkeli?
Watu 20 wafariki dunia baada ya basi la abiria walilokuwa wakisafiria kushika moto, Tukio hilo limetokea karibu na mji mkuu wa Peru, Lima.
Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Idara ya zima moto...
Hallo,kumekua na namba nyingi sana za simu hivi sasa hapa Tanzania.Hali hii inawawia vigumu sana watumiaji wanapotaka kufanya miamala,kutambua kua namba hii ni ya mtandao gani,hali hii hupelekea...
Serikali yadhamiria kutumia jukwaa wa Mashindano ya AFCON U17 yatakayofanyika hivi karibuni kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini ili kunufaika na wageni mbalimbali watakao kuja kushiriki...
Pale coco beach unapokwenda kupata upepo na kula mihogo kuna watu wanakuja na kukudai ushuru ya parking sh 1000 hivi kweli pale kunafaa kulipa ushuru wa parking hakuna kitu walichofanya pale...
Alaani wasaalani......
wasomi, wadau na wataalamu popote pale mlipo tunaomba Msaada wenu wa elimu juu ya Hii risiti .
Leo nilienda kumsindikiza ndugu yangu aliyekuwa anasafiri katika kituo cha...
You Are Not an Accident
Maandiko yanasema ,
“Mimi ni muumba wako.Ulikuwa kwenye uangalizi wangu hata kabla hujazaliwa”-Isaya 44:2a
Mwanasayansi mashuhuri,Albert Einstein alisema
“Mungu...
Ndugu watanzania,
Kutokana na video inayomuonyesha mh rais Maghufuli akiwa amekaa kwenye sofa ikulu akitizama mechi ya Taifa Stars dhidi ya The Cranes!
Long story short, kweli mh rais anaonekana...
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa kushirikiana na kampuni ya dawa ya Roche ya nchini Kenya imeandaa mkutano wa kisayansi wa kuwajengea uwezo wataalam wa Radiolojia, Pathiolojia...
Tanzania imetajwa kuwa na madini ya kila aina, madini hayo yametajwa kuwa ya thamani kubwa hali inayofanya wengi wao kujihusisha na kazi hiyo.
Serikali kwa kuona hayo imekuwa karibu na wananchi...
Tanzania imetajwa kuwa na madini ya kila aina, madini hayo yametajwa kuwa ya thamani kubwa hali inayofanya wengi wao kujihusisha na kazi hiyo.
Serikali kwa kuona hayo imekuwa karibu na wananchi...
SERIKALI imedhamiria kuimarisha utabiri wa hali ya hewa nchini ku kia uhakika wa utabiri kwa asilimia 95 baada ya kusaini mkataba wa ununuzi wa rada mbili za teknolojia ya kisasa, ambayo Tanzania...
kuna kiwanja nimeonyeshwa Grid ya taifa ipo pembezoni mwa kiwanja Kama 3mt
je kuna madhara yeyote na vipi nikienda kuomba mkopo
benk watakiidhinisha ?
mawazo yenu wadau kabla sijanunua.
Sent...
Hatimaye raisi wa nchi ya Algeria ndg. Abdelaziz Bouteflika ajiuzulu nafasi yake baada ya shinikizo kubwa alilolipata kutoka kwa jeshi la nchi hiyo na wandamanaji walioandamana kwa wiki kadhaa...
TAFAKARI TABIA YAKO MBELE YA JAMII
Ng’ombe, akishatoa maziwa ya kulisha familia nzima, hurejea katika malisho yake taratibu. Lakini kuku, akishataga yai moja hupiga kelele ili kila mtu ajue. Je...
TAFAKARI TABIA YAKO MBELE YA JAMII
Ng’ombe, akishatoa maziwa ya kulisha familia nzima, hurejea katika malisho yake taratibu. Lakini kuku, akishataga yai moja hupiga kelele ili kila mtu ajue. Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.