Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza Kauli ya Rais ni Sheria hivyo ni dhahiri watu walioshukiwa na matumizi ya gongo au kukamatwa na mitambo ya gongo hivyo kwa sasa waachiwe huru! Maana sasa Rais...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwajiri anaweza kumfukuza kazi mwajiliwa aliyemtuhumu kuiba ili hali kesi iliishia polisi kwa kuonekana mwajiliwa hana kosa hilo na kesi haikupelekwa mahakamani? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
947 Views
Saa chache baada ya kutambulishwa bosi mpya wa Vodacom anashikiliwa na jeshi la polisi kwa mahojiano Source: mwananchi Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Yapata miaka kadhaa sasa wakati wa awamu ya nne ya Mheshimiwa Jakaya shirikisho la Afrika Mashariki lilipatwa na bundi fulani ambaye alisababisha kamgogoro ka chinichini baina ya Tanzania na nchi...
2 Reactions
3 Replies
919 Views
Waziri wa Madini Nchini Uganda, Peter Lokeris amesema kuwa amefurahishwa na usimamizi wa sekta ya madini nchini Tanzania na kusisitiza kuwa Uganda bado itaendelea kutuma wataalam wake pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mganga mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Yudas Ndugire amekiri kupokea taarifa za wagonjwa 281 wa homa ya Dengue kuanzia mwezi Novemba mwaka jana huku kukiwa na kifo kimoja kilichotokana na ugonjwa huo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
*WAKATI WA KUSUBIRI UNAFANYA NINI?* Makala ya tarehe 3/4/2017(miaka 2 iliyopita) Maisha yetu yamejawa na Hali ya kusubiri.Kusubiri maana yake ni kungojea. Ulipomaliza darasa la saba ulisubiri...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwanza nikupongeze kwa juhudi za Wizara yako kusimamia umeme kuwafikia hadi watu wa chini. Kuna sehemu naona kama mmekosea. Hii nyumba hapa chini mliopeleka umeme kwa mfano mvua nyingi ikinyesha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu. Bila shaka wengi tunafahamu kuhusu ujenzi wa barabara hasa katika nchi yetu, barabara zilizo nyingi hujengwa na wao. Mfano barabara ya Arusha-Dodoma-Iringa...
3 Reactions
31 Replies
8K Views
Tai Ni Ndege, Ana Mambo Saba (7) Tofauti Na Ndege maajabu makubwa haya apa Kuna aina nyingi za ndege aitwaye tai, mfano kuna tai mwenye mkia mweupe, kuna tai wa rangi ya dhahabu, kuna tai wa...
4 Reactions
8 Replies
14K Views
Vitabu vya dini vinatutaka kuwa wanyenyekevu. Sio kuwa na kiburi na mbwembwe kama walivyo baadhi ya viongozi wa dini wa kizazi hiki. Ni hodari wa kushiriki misiba ya matajiri lakini ya masikini...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
Kila anapovurunda kwa masifa yake anakimbilia kwenye mahubiri na nyimbo za injili, anayepaswa kuumia ni yeye pekee, na mkamilifu ni yeye pekee, anayejua yote ni yeye pekee hata akiumiza wengine...
3 Reactions
2 Replies
916 Views
Baada ya Bashite kumponda sana konki Liquid, Pierre. Viongozi wengi serikalini akiwemo makamu wa rais,waziri mkuu, spika wa bunge, mawaziri mbalimbali na wananchi wengi wamekuwa wakimuunga sana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za leo. Shule ya Msingi Nyasubi kumekithiri matukio ya ubakaji na Ulawiti kwa watoto wa Chekechea.... Jumla ya watoto 20 wamelawitia na kubakwa. Leo asubuhi Wazazi wakiwa kwenye kikao...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Serikali imesema kuwa kwa sasa nchi haina tatizo la mzunguko mdogo wa fedha katika soko kutokana na hatua mbalimbali ilizozichukua kukabiliana na tatizo hilo ikiwemo kuongeza ukwasi kwenye uchumi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kutana na Allen Sherukinga ambaye yeye ni dereva magari makubwa na mabasi ya abiria mwenye uzoefu wa miaka 45 barabarani. Anakuambia yeye hajawahi kupata ajali akiwa anaendesha gari kwa miaka...
1 Reactions
28 Replies
10K Views
Prof Assad kwa kuwa mwanataaluma usiyekubali kupindisha mambo ya kitaaluma, ili tu kuwapendeza wanasiasa. Wewe ni mfano wa kuigwa kwa professionals wote. Bahati mbaya Bunge hili hili limejaa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawasaka watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la AIDAN PAUL CHONGOLA [27] Mkazi wa Hayanga, Dereva Bodaboda. Ni kwamba mnamo tarehe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mko njema wakubwa? Siku ya jumamosi nilifanya miamala mitano miwili ilifanikiwa na mitatu ikaleta majibu ya kuwa muamala wangu unashughulikiwa baada ya kuwapigia huduma kwa wateja akapokea dada...
0 Reactions
1 Replies
570 Views
Wakuu, Suala la kulipia ushuru wa parking kwa wenye magari Dar imekuwa kero kubwa sana. Hata kama ni kiwanja cha mtu watu wanapark magari hapo, wanakuja kutega hapo wanataka ulipie ushuru. Iwe...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom