Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,608
Mko njema wakubwa?
Siku ya jumamosi nilifanya miamala mitano miwili ilifanikiwa na mitatu ikaleta majibu ya kuwa muamala wangu unashughulikiwa baada ya kuwapigia huduma kwa wateja akapokea dada mmoja anaitwa lovenes ana majibu ya ajabu sana nilimstahi, nikapiga simu tena akapokea fredy huyu alinipa majibu matamu sana nikavumilia.
Siku ya jana nimewapigia wananieleza habari za masaa 72 ya kazi ambayo ni kuanzia saa 2-11 ambayo haya ni sawasawa na masaa 50 kwa wiki nikakata simu.
Leo nimepiga tena bahati nzuri akapokea lovenes tena hatonisahau huyu kahaba wanataka kuniibia 600K kwa usawa huu nitavunja vunja ofisini zenu kesho nisipopata pesa yangu.
Majina yenu ninayo Amir, Fredy, lovenes na suzy nitawafanya mbaya