Dar: Dengue yaua mmoja na wengine 281 waugua

Dar: Dengue yaua mmoja na wengine 281 waugua

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,201
Reaction score
64,681
Mganga mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Yudas Ndugire amekiri kupokea taarifa za wagonjwa 281 wa homa ya Dengue kuanzia mwezi Novemba mwaka jana huku kukiwa na kifo kimoja kilichotokana na ugonjwa huo.
 
Back
Top Bottom