BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Wakuu,
Suala la kulipia ushuru wa parking kwa wenye magari Dar imekuwa kero kubwa sana.
Hata kama ni kiwanja cha mtu watu wanapark magari hapo, wanakuja kutega hapo wanataka ulipie ushuru.
Iwe bar, pharmacy au mini supermarket binafsi ambazi zinaparking binafsi wao wanakuja kudai ushuru.
Tunajua mnatafuta kodi lakini pateni kodi kwa njia halali mana hii ni aina ya utapeli.
Tunapoelekea mtakuja kupiga hodi mpaka ndani kuchukua ushuru wa parking majumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app