Je RC Makonda anadhani Mungu ni wake peke yake?

The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
8,317
2,000
Kila anapovurunda kwa masifa yake anakimbilia kwenye mahubiri na nyimbo za injili, anayepaswa kuumia ni yeye pekee, na mkamilifu ni yeye pekee, anayejua yote ni yeye pekee hata akiumiza wengine yupo sahihi na mkamilifu

Wito wangu: RC Makonda acha kucheza hii kadi ya kuonyesha kwamba wewe unaonewa sana, na kumfanya Mh. Raisi akuonee huruma kila mara, niamini bila huruma ya mh. No. 1 maisha yako yangekuwa magumu sana, ila jua kila lenye mwanzo lina mwisho. wewe ni mtesaji, mnyanyasaji na mtu mwenye hila sana, ulisababishia pierre maumivu makubwa sana, uliowatuhumu madawa ya kulevya, uliowapiga(petitman), uliowafanya wakapoteza ajira, uliowaumiza kisaikologia(watumishi ofisin kwako kuwa hawafanyi kazi) n.k nakushauri acha mara moja Mungu hadhihakiwi na usidhani kwamba Raisi haoni, sema anaona sio busara kukufyeka kuambatana na unma unavyotaka utaenda wapiiiii? Una maadui kila kona na wotee tumekuchoka

Time is ticking...kuwa makini
 

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
7,081
2,000
Haki ya nani, laiti binadamu angekuwa anakumbuka mwisho wake naona wengi wangekuwa na hofu kwa mustakabali wa wengine.

Brother fetch this message but is one from many.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom