Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,661
Kwanza nikupongeze kwa juhudi za Wizara yako kusimamia umeme kuwafikia hadi watu wa chini. Kuna sehemu naona kama mmekosea. Hii nyumba hapa chini mliopeleka umeme kwa mfano mvua nyingi ikinyesha waya sikashika maji hamuoni kwamba usalama wa raia utakua hatarini. Juhudi ni nzuri lakini angalau tuzingatie na aina ya nyumba tunakopeleka umeme! Ni hayo tu!