Kauli ya Rais ni sheria hivyo watuhumiwa wa Gongo waachiwe Huru!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza Kauli ya Rais ni Sheria hivyo ni dhahiri watu walioshukiwa na matumizi ya gongo au kukamatwa na mitambo ya gongo hivyo kwa sasa waachiwe huru!

Maana sasa Rais karuhusu hivyo wananchi wasisumbuliwe na vyombo vinavyosimamia sheria la msingi waelekezwe wapi wapeleke gongo yao ikapimwe kitaalamu ili wananchi waondokane na umasikini!

Mimi ni mfano mzuri mimi nimesoma kwa sababu ya gongo!amini usiamini!!

Mfano mwingine Nchi ya Uganda wananchi wanapika gongo wanapeleka kiwandani kuuza hivyo kampuni inayozalisha Pombe ya Uganda Waragi Ina jukumu la kununua gongo kwa wananchi hivyo na hapa tuanzishe mfumo huo.

Nimshukuru Rais kwa kuona mbali.
 
Wazee wa Muzo a.k.a Chang'aa kazi kwenu mshindwe wenyewe.
 
Mkuu, afadhali ume-'declare interest' kwamba pombe haramu ya Congo (chang'aa) ina mchango katika maisha yako. Naona hukuielewa hotuba ya Mh.JPM alipokuwa kituo cha utafiti Naliendele -Mtwara, au unafanya makusudi kupotosha umma. Nakushauri tafuta muelewa (sio Watu-Nguvu) akufafanulie hotuba hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom