Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Visiting International Press Institute Mission Commend Tanzania on Commitment to Improve Media Sector By Special Correspondent, Dar Salaam MEDIA experts from the visiting International Press...
0 Reactions
0 Replies
428 Views
Baada ya wachina kujenga round about (mzunguko) wa dharula pale ubungo na kushangaza madereva magari wapitao pale kwa jinsi ilivyo fanisi kwa kupunguza foleni mahala pale, kumefanya watu waje na...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Tuna fail sana wadau...tunashindwa kabisa kujitathmini,kujichunguza sisi wenyewe mpaka tunapofikia hatua ambayo inakuwa ni too late to catch the train. Ni wangapi huwa kila mara wanachunguza...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Habarini wakuu Hawa jamaa wa EATV naona hivi sasa habari zao kwenye page yao ya Facebook zimekua kama vile za udaku sana..... Wametoa link lakini ukifungua unakutana na habari tofauti na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanza Press Club, tunaungana na wanahabari wote nchini kulaani kwa nguvu zote amri ya KIUKANDAMIZAJI iliyotolewa na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, la kupiga marufuku kwa wandishi wa...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Kumezuka tabia ya majambazi kutoka Bunju -Dar es salaam na sehemu nyingine kujikusanya katika kijiji cha Zinga kwa Mtoro Bagamoyo kama shemu ya kupanga mipango yao. Sasa hivi wamebuni mbinu mpya...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Meja Jenerali Jacob Kingu, amesema kuwa maeneo 17 Jijini Dar Es Salaam kufungwa CCTV Kamera amesema hayo wakati akiongoza Kikao cha wadau kujadili Mradi wa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini wakuu, inapotokea umeme wa TANESCO umekuja kwa nguvu(power surge) na kusababisha uharibifu wa mali ndani ya nyumba zikiwemo A/C, Fridge, TV nakadhalika, kuna namna yoyote ya kuwawajibisha...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
HABARI ZA MUDA WANA JF. Husika na kichwa cha habari hapo juu nashauri serikali itangaze rasmi hawa KUNGURU weusi ni kivutio cha utalii kwa Dar. Hawa ndege ni kivutio kikubwa sana kwa wageni kutoka...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ya kazi wana Jamii Forum Ni jinsi gani naweza kui Reset password yangu ya kutolea salary slip kwenye mfumo wa hazina ikiwa nimeisahau Email yangu niliyo itumia kipindi najisajili? naomba...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
  • Closed
Wadau kwa taarifa zilizothibitishwa na mshana jr amempoteza mama yake mzazi. Kwa sasa Mshana Jr yupo njiani kuelekea Ktk Msiba Kilimanjaro, pindi atakapofika atatujuza mengi. Tupo pamoja ndugu...
69 Reactions
803 Replies
54K Views
Unaweza kunishangaa kwa mada kama hii na kufikiri nimewaza nini.. Lakini kama hili likifanikiwa tutakuwa tumesaidia kutatua tatizo kubwa sana Wote tunatambua kwamba guest house ama nyumba za...
29 Reactions
164 Replies
21K Views
Jana nimelipia dstv saa 11jioni nikitegemea kuangalia mechi ya man city usiku saa nne,lakin hadi mida hiyo tigo walikua hawajawasilisha muamala wangu dstv ili nifunguliwe,nikapiga sana simu dstv...
0 Reactions
2 Replies
790 Views
WAKAZI wa maeneo ya Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam, watasahau tatizo la kukatika umeme ifikapo Aprili 30, mwaka huu. Hiyo ni kutokana na matarajio ya kukamilika ujenzi wa kituo kipya cha...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeota ndoto mbaya sana kuhusu nchi yetu mpaka naweweseka. Ndoto hii imejurudia mara tatu na kila nikiota nashtuka sana halafu roho yangu inauma sana. Nimeota kuna kundi la vijana ambalo...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ametoa onyo kali kwa wanaohujumu miundombinu ya umeme nchini kote akisema serikali imedhamiria kupambana nao na kwamba hatua kali za kisheria zitachukuliwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hili halina utetezi wowote... kaenda mbali na kuwatisha kuwa watanyang'amywa vitambullisho vyao kama wakikaidi...
0 Reactions
2 Replies
606 Views
Na Ahmed Rajab YALIYOTOKEA wiki iliyopita Dar es Salaam, Tanzania, na Moroni, Comoro, ni muendelezo wa hadithi moja. Visa vilikuwa tofauti lakini hadithi ndiyo hiyo hiyo — yayo kwa yayo, maji ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wahariri kutoka Jukwaa la Kimataifa la Wahariri na Wanahabari Duniani (International Press Institute, IPI) wameeleza kufurahishwa na mwitikio wa Serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Leo kuna katazo la Spika Ndugai kwa waandishi wa habari kutokuhoji wabunge waliosusia adhabu ya Mh. Lema. Imekuwa ni desturi kwa vyombo vya habari kuhoji wabunge pindi wanapofukuzwa au kususia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom