Askari Mageraza wa gereza la Msalato A.8070 SSGT Cosmas Ndasi (51) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kukutwa na pembe za ndovu vipande sita vyenye thamani ya sh 103.5 milioni...
Msaada anayefahamu jinsi ya kutoa harufa ya mafuta ya taa kwenye dumu nililonunua kwaajili ya kubebea maji ya matumizi ya geto. Nimeweka sabuni ya unga na mchanga lakini bado harufu ipo tena kali...
Mambo vp wadau, mimi kazi zangu zipo mkoani, ila familia yangu inaishi Dar, wiki iliyopita nimerudi kusalimia familia nimekuta kuna mbuyu umeota pembeni ya Nyumba yangu ambapo kuna kiwanja...
Ulikua unafahamu kwamba kuketi kwa muda mrefu ni hatari kwa afya yako? unaambiwa binadamu wa kawaida kwa sasa anakaa kwa muda wa saa nane mpaka saa tisa kila siku akiwa kazini, kwenye gari au...
Mimi ni mdau na mpenzi sana wa mpira wa miguu, na napenda sana kushangilia timu yangu pale inapokua uwanjani.
Kero kubwa kwangu ni utaratibu mbovu uliopo uwanja wa taifa wakati wa kuingia na...
WAKALA wa Ndege za Serikali (TGFA) umesema kuwa fedha zote zilizolipwa kwa ajili ya kuipeleka ndege aina ya Fokker 50 kupakwa rangi nje ya nchi, zimesharejeshwa. Hayo yalibainishwa na Mtendaji...
HABARI WANA-JAMII FORUM;
Naomba msaada wa kupata mtaalamu au taasisia ambayo inafundisha,
- OFFICE SUIT APPLICATIONS-Full Package- Advanced Excel, Words, Presentation, Publisher etc
- Adobe...
Wote tunajadili kuhusu matamshi ya CAG kuhusu "udhaifu wa Bunge." Je, tumeangazia pande za matamshi kuhusu kudhani kurekebishika kwa "udhaifu" huo ndani ya muda mfupi?
Mambo gani yatapelekea...
Salam wana jamvi.Je kuna ukweli wowote kwenye swala la vikoba kutoka Reginald Mengi foundation kuhusiana na mikopo wanayotoa? Au ni wahuni wachache wanataka kujivunia fedha za wasio na uelewa?
Kuna series ya kimarekani inaitwa The 100 kama ushawahi kuitazana utakuwa unaweza ukapata tafsiri iliyojitosheleza kuhusiana na neno survival.. Series imeonyesha hustle walizopitia cast ili kuweza...
Kuna siku nilienda bank ya DTB Mkoa fulani hivi kwa ajiri ya kuchukua pesa zilizotumwa kutoka nchi fulani hivi, nikajibiwa kitambulisho cha Taifa hakiwezi tumika kwa sababu hakina sahihi. Kwa hiyo...
Wakuu habari zenu,
Natumai mko powa sana na harakati za maisha ya hapa na pale kukimbizana huku na kule pia kinyonge sana na kwa masikitiko tunaendelea kulia juu ya msiba wa kijana mwenzetu.
Ok...
Habari za muda huu wakuu,
Twende moja kwa moja kwenye mada leo ni mara yangu ya kwanza kutumia huduma ya nbc mobile sasa nilikuwa na shida kidogo ya buku kumi nikapiga hesabu nikope mpawa kweli...
Jana usiku mitaa ya Chamazi Kwa Mkongo ilizizima kwa mirindimo ya risasi baada ya majambazi kuvamia nyumba mbili za raia na kuwakomba kila kitu.
Ilikuwa ni kama sinema vile: Majambawazi hao wa...
Mwezi huu tutajisomea kitabu kilichoandikwa na Richard Branson kinachoitwa SREW IT, LETS DO IT, LESSONS IN LIFE.
Richard Branson ni bilionea wa kiingereza ambaye utajiri wake unakadiriwa...
Hii imejulikana katika utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori(TAWIRI) wa kuchunguza mwenendo wa uzazi na ukuaji wa duma katika Mbuga ya Serengeti nchini Tanzania
Utafiti...
Ndugu wana JF,
Taasisi hii sasahivi inajitaidi kufanya kazi vizuri kwa kutoa utabiri wa ukweli karibia 90% uwa wa ukweli, ndugu wana JF tujenge mazoea ya kufatilia utabiri wa hali ya hewa...
Magari yanayopita njia ya marangu, yani dar express yana usumbufu mkubwa sana yanafaulisha abiria mpaka kero, yani basi la kwanza linasubiri mabas yote stendi ya njia panda zaid ya lisaa...
Kwanza kabisa napenda kupongeza Watu wote ambao wanafanya Taifa ili liwe na Amani, hasa Uongozi thabiti wa Awamu ya tano ikiongozwa na Mh Rais Baba Daktari Mwalimu John Joseph Magufuli...
MENEJA wa Bandari ya Dar es Salaam, Freddy Liundi amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) ipo mbioni kuanzisha gati maalumu, ambayo itakuwa na uwezo wa kupokea meli za kitalii (cruise...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.