Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanaJF.! Kuna baadhi ya vitu hutokea kwenye maisha yetu ya kila siku na tunavichukulia simple sana ila ni vitu ambavyo vinaweza kuleta pain na kusababisha mhusika kujiona sio kitu...
4 Reactions
6 Replies
789 Views
- Sent from my iPhone using Tapatalk
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndio, Kuna watu watakuja hapa na story zao za uzalendo wakijifanya wanaipenda Sana hii nchi huku wakiwa wamejificha kwenye kivuli Cha kutetea matumbo yao, Binafsi naanza mgomo rasmi wa kulipa Kodi...
59 Reactions
149 Replies
13K Views
Tukio la kusikitisha la mauaji ya Mkulima limetokea Kijiji cha Lukenge Kata ya Magindu tarehe 27/03/2019 , mbele ya Mkuu wa wilaya ya Kibaha ndugu Asumpta Mshana , wakati alipoenda kujaribu...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Poleni na majukumu ya kila siku ninaomba kujuzwa juu ya uraratibu gani unafanya kwa mtu ambaye anataka kwenda nchi ambayo nchi hiyo hakuna ubalozi wa nchi husika, mfano unataka kwenda vietnam...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hawa jamaa wanaingoza kwa Rushwa imetawala sana,huduma ya kupimiwa,na kuunganishiwa umeme bila rushwa hupati kwa wakati. Tanesco wao kila siku nguzo zimeisha,cha kushangaza unakuta watu wananunua...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Atakayeweza kubuni njia ya kuteketeza takataka mbichi za nyumbani kwa urahisi bila kuchafua mazingira. Azingatie yafuatayo: 1. Iweze kutumia eneo dogo hasa ukizingatia kwamba njia hii itatumiwa na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naandika nikiwa na hasira sana na vimbwanga vinavyoendelea katika taifa hili. Speaker wa Bunge anatamka kwamba hataki kufanya kazi na CAG ila yuko tayari kufanya kazi na ofisi ya CAG. Kwanza...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Naweza kusema kuwa asili haifichiki hili lilianza kuniinjia akilini mara tu tulipoliacha jiji la Gaborone ambako ndiko mwenyeji wangu anaishi akifanya kazi kiwandani. Safari hii ni moja ya ahadi...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu wadau, Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwatazama wana jamii wenzangu wanavyofanya vitu kwa hisia za muda mfupi alafu baadae wanagharamika kujirudi. Mfano kuna jamaa mmoja anapenda sifa sana kila...
8 Reactions
9 Replies
2K Views
Kumezuka sintofahamu katika ajira vyuo vikuu nadhani na serikalini ikihusisha waombaji na waajiriwa ambao wamesoma na kufaulu masters kwa utafiti pekee yake bila course work (Masters by Research)...
7 Reactions
43 Replies
9K Views
Siku hiyo nikiwa na mawazo ambayo yalikuwa yanasumbua kichwa changu niliamua Kwenda baa moja ambayo ilikuwa ina vikundi vya maonesho mbalimbali. Nikaagiza soda, mtaani nimezoea soda ni 500 tu...
36 Reactions
51 Replies
10K Views
Ndugu yangu wewe ni mwandishi mkubwa tu na blog yako ina hadi sponsors wa kutosha ila fanya kitu kimoja tafuta laki mbili kahost iwe .com maana naona hata google wameachana na kuishughulikia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana nilikuwa Hospital ya Rufaa ya Iringa nilishuhudia madkatari wakikimbizana Wodi ya watu mahututi "ICU" nikauliza kulikoni Wakasema Wale Mapacha walioungana (Maria na Consolata) hali zao...
7 Reactions
15 Replies
3K Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amempa muda wa mwezi mmoja Kamishna wa Idara ya Uhamiaji nchini, Dk. Anna Makakala, kuhakikishia kuwa anamkabidhi orodha ya mapapa wa biashara ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ANGALIZO KAMA WEWE SIO MTUMIAJI WA DATING SITES NAOMBA UACHANE NA UZI HUU SIO LAZIMA KUCHANGIA KILA UZI Habari ya mda huu wana Jukwaa Aisee kama kichwa kilivyo kuna kero moja hasa hawa hawa watz...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni kabinti kadogo tu lakini ndio kametundikwa mimba Nikiwa kwenye siti ndani ya daladala, kakaanza kuniangalia kwa huruma Mara kakaropoka, kaka naomba unipishe nikae mimi mjamzito Nikakaambia...
53 Reactions
186 Replies
23K Views
kwanza watu wakajitoa mkataba wa kuendesha serikali kwa uwazi,ambapo zamani mkopo ukichukiliwa mahala tunatangaziwa hata kama kulikuwa na ufisadi ila mapato ya madini tuliambiwa leo ni marufuku...
0 Reactions
3 Replies
871 Views
Mmoja naona anavaa sare za jeshi la wananchi la tanzania na mwingine naona anavaa suti. Majukumu yao ni yapi hawa walinzi. Huyu mwenye nguo za jeshi anapepesa macho kila sekunde yani kushoto...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Leo Mida ya saa saba mchana nilienda kumtembelea jamaangu mmoja kwa mazungmzo zaidi ya kulainisha vyuma hivi vilivyoshikilia,. Nikiwa njiani narud home, nikakutana na zogo. Ipo hivi, nimekuta mzee...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom