Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya BMVSS ya India zinatarajiwa kuendesha upimaji na kutoa bure zaidi ya miguu bandia 600 kwa watakaohitaji. Watu wenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania imesema iwapo watakubaliana na taasisi mbalimbali wanazotarajia kukutana nazo wiki hii wanaweza kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kuanzia Julai mwaka huu. Kauli...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Idadai ya akaunti ambazo mtumiaji wa wa Twitter anaweza kuzifuata kwa siku moja zimepunguzwa kutoka 1,000 hadi 400 Yaelezwa kuwa Twitter wamebaini kuna akaunti zinazoendeshwa na rotobi na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu JF family. Nimegundua ktk tafiti zangu kuwa Watanzania watu wazima wamegushi tarehe zao za kuzaliwa wakiwepo watu maarufu kama wafanyabiashara na wanasiasa. Sababu ya kughushi ni...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Sijabahatika kupita JKT Jambo linalonifanya niwe na uelewa mdogo wa mambo ya ulinzi na usalama, Ila kwa wale waliopitia JKT au walio na uzoefu na mafunzo ya ulinzi na usalama naombeni mnisaidie...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Wadau nisipoteze muda.Hivi TAMISEMI wamesharuhusu uhamisho wa watumishi kutoka Mkoa mmoja kwenda Mkoa mwingine? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Walikuwa wanasubiria nyongeza ya mshahara, wamepigwa chenga kama chenga Mnangagwa aliyompiga comrade Mugabe.Nyongeza haitoshi hata kulipa balimi tano, au kilo Moja ya mdudu na ndizi Moja.Hiyo...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu habari zenu? Ipo hivi Mimi ni baba nina mtoto mmoja 4year na mke mmoja, mm na mke wangu na mtoto wetu mzuri tunakaa pamoja tunamaisha ya mtanzania wa kawaida Nilipomaliza tu chuo nilipata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wadau! Tafadhali mwenye kujua dawa au suluhisho la mdudu mende tafadhali naomba anisaidie maana kila kukicha mende ndani wanaongezeka licha ya kupiga dawa kila mara ukiwa na moyo mdogo...
2 Reactions
49 Replies
12K Views
1. American Airlines Flight 191 Ajali mbaya kabisa ya ndege katika historia ya Marekani iliyotokea Mei 25, 1979. Ndege iiliyokuwa ikifanya safari zake za kawaida DC-10 ilianguka dakika kadhaa...
1 Reactions
13 Replies
16K Views
Mara nyingi nikipanda Uber hapa town huwa napenda sana kupiga stori za hapa na pale na hawa drivers wa Uber. Story moja ambayo huwa naipata zaidi ya mara moja ni kuhusu abiria wa kike kuwa sio...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kenya airways inaonekana inakabiliwa na matatizo chungu nzima ya kiutendaji. Watu wanaosafri na Kenya Airways wanasema siku hizi safari ya Kenya Airways KQ kucheleweshwa kwa masaa mawili, matatu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau mm kwa takribani mwaka nimekuwa nikihangaika kufuata familia yangu kwa kuomba uhamisho. Taratibu zote za maombi zimefanyika Cha ajabu nimejibiwa majibu yasiyokuwa na huruma na kibinadamu...
5 Reactions
33 Replies
5K Views
Katika hali ya kushangaza Katibu Mkuu, Wizara Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano hataki kuwalipa wastaafu wa ATCL madai ya mafao yao PSSSF (PPF) hata baada ya Katibu Mkuu Kiongozi ambaye ni bosi wake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninaomba nafasi hii nitoe yanayonigusa rohoni Kwa Kweli. Ninavyoona Mimì uandishi wa habari ni mwanga, ni kioo, ni jicho, ni taaluma ambayo ina uwanja mpana uliozunguka maisha ya binadamu katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii dunia Ina maajabu Sana viumbe wake Wana uwezo wa Hali ya juu sana ya kutoa ishara. Kwa mfano mnaenda wachimbaji Kama kumi huko porini mnaanza kuchimba Mara mnakutana na shimo dogo dogo ghafla...
3 Reactions
42 Replies
8K Views
MOROGORO: Ni hatari tupu! Hicho ndicho kinachotokea kwa sasa mjini hapa kufuatia staili mpya ya wanawake kutumika katika wizi wa pikipiki za matairi matatu almaarufu Bajaj. Kumekuwa na matukio...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
GEITA JESHI la Polisi mkoani Geita linamshikilia mkazi wa Kata ya Nyankumbu, Selemani Mathis (35), kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake (jina limehifadhiwa) mwenye umri wa miaka minne. Akizungumza...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
UJUMBE WA KWARESMA 2019 ULIOTOLEWA NA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA TEC  FAMILIA KANISA LA NYUMBANI NA NI SHULE YA IMANI NA MAADILI Wapendwa Waumini, Kaka na Dada katika Familia ya Mungu, Na Watu...
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Muda si mrefu uliopita waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amelitangaza rasmi jeshi tiifu la Iran ( Iran Revolutionary guard) kama ni kikundi cha kigaidi!!!! Hii imekaaje wadau...
1 Reactions
5 Replies
903 Views
Back
Top Bottom