Watanzania wengi hatuishi.. tunasurvival

Watanzania wengi hatuishi.. tunasurvival

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,204
Reaction score
14,393
Kuna series ya kimarekani inaitwa The 100 kama ushawahi kuitazana utakuwa unaweza ukapata tafsiri iliyojitosheleza kuhusiana na neno survival.. Series imeonyesha hustle walizopitia cast ili kuweza kunusuru maisha yao kuna wakati walilazimika kugeuzana wenyewe kwa wenyewe kama chakula ili wasife njaa.. Turudi bongoland raia wengi wa Tz nikiwepo Mimi tunasurvival hatuishi maisha yanoyostaili japo kwa standard ya chini.
-Tunakula chakula kinachopatikana sio tunachopenda
-Uhaba wa ajira umefanya tufanye kazi kwa maslahi madogo
-Kupata Huduma za afya ni changamoto
-Pesa imetugawanya masikini ananyimwa haki
eeh mungu tusaidie haya yapite ili na sisi tuweze kuishi kama wenzetu.
From ashes will arise.
 
Hapo kwenye kula chakula kinachopatikana na sio tunachopenda nimetafakari Sana..
 
I see no changes wake up in the morning and I ask myself
Is life worth living should I blast myself?
I'm tired of bein' poor and even worse I'm black
My stomach hurts so I'm lookin' for a purse to snatch… 2PAC
 
mkuu huo wimbo unaitwaje
 
Back
Top Bottom