Jinsi ya kutoa harufu ya mafuta ya taa kwenye dumu la maji

willy ze great

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,026
1,179
Msaada anayefahamu jinsi ya kutoa harufa ya mafuta ya taa kwenye dumu nililonunua kwaajili ya kubebea maji ya matumizi ya geto. Nimeweka sabuni ya unga na mchanga lakini bado harufu ipo tena kali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tapatalk_1554630082301.jpeg

Mpm mwenzako ndege joni nayeye ana geto kama lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lioshe na maji na sabuni kwa wingi ................hakuna short cut!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom