Kuna siku nilienda bank ya DTB Mkoa fulani hivi kwa ajiri ya kuchukua pesa zilizotumwa kutoka nchi fulani hivi, nikajibiwa kitambulisho cha Taifa hakiwezi tumika kwa sababu hakina sahihi. Kwa hiyo hivi vitambulisho kuna baadhi ya maeneo havitumiki. Kuweni makini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app