Mbuyu umeota nyumbani kwangu

Mbuyu umeota nyumbani kwangu

Scaboma

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
335
Reaction score
212
Mambo vp wadau, mimi kazi zangu zipo mkoani, ila familia yangu inaishi Dar, wiki iliyopita nimerudi kusalimia familia nimekuta kuna mbuyu umeota pembeni ya Nyumba yangu ambapo kuna kiwanja nimepanga kujenga lakini kila nikipanga kuanza ujenzi mambo yanavurugika pesa inasambaratika na umeota kwenye dirisha la watoto, mke wangu alikua aujui ndo akauacha nami nilikua siujui piano nilifikiri mti wa kawaida ndo maana sikuwekea maanani, leo vibarua wangu walikuja nyumbani ndio wakaniambia ni mbuyu, no umekua una urefu wa futi 18, je nikiukata utaniletea madhara? naomba ushauri wadau.
 
Mbuyu wa futi 18 umeota au umeukuta? yani hadi mbuyu wafikia futi 18 nadhani wewe ndo umeukuta hapo mana inakuwa kwa kidogo sana. Kwa huo urefu haina shida waeza ukata sema ikibidi chimba chini kwenye shina na utoe wote kwani ukiacha na hata mzizi mmoja tu utanyanyuka tena.

Kama wewe unawazia ushirikina naomba uache huo ujinga mana huo ni mti kama mti mwingine
 
Mapinga - Bagamoyo kuna shule inaitwa BAOBAB, ina Form I-VI, kati kati ya shule kuna MBUYU (BAOBAB) na mpk kufikia 2007, Mbuyu ulikuwa na Umri wa 100+ years! Baobab ni moja ya shule nzuri sana na ya gharama pia!
 
Kuna wakati mwingine huwa nikisoma thread huwa najisemea huyu atakuwa katika great thinkers.
Na hapa nitulize akili lakini baada ya kuendelea kusoma comments ndio najua ooh ni tofauti na ninachowaza CODES

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mambo vp wadau, mimi kazi zangu zipo mkoani, ila familia yangu inaishi Dar, wiki iliyopita nimerudi kusalimia familia nimekuta kuna mbuyu umeota pembeni ya Nyumba yangu ambapo kuna kiwanja nimepanga kujenga lakini kila nikipanga kuanza ujenzi mambo yanavurugika pesa inasambaratika na umeota kwenye dirisha la watoto, mke wangu alikua aujui ndo akauacha nami nilikua siujui piano nilifikiri mti wa kawaida ndo maana sikuwekea maanani, leo vibarua wangu walikuja nyumbani ndio wakaniambia ni mbuyu, no umekua una urefu wa futi 18, je nikiukata utaniletea madhara? naomba ushauri wadau.
Ulipojisaidia pameota mti......
 
Mbuyu wa futi 18 umeota au umeukuta? yani hadi mbuyu wafikia futi 18 nadhani wewe ndo umeukuta hapo mana inakuwa kwa kidogo sana. Kwa huo urefu haina shida waeza ukata sema ikibidi chimba chini kwenye shina na utoe wote kwani ukiacha na hata mzizi mmoja tu utanyanyuka tena.

Kama wewe unawazia ushirikina naomba uache huo ujinga mana huo ni mti kama mti mwingine
Sawa Mkuu.
 
Mambo vp wadau, mimi kazi zangu zipo mkoani, ila familia yangu inaishi Dar, wiki iliyopita nimerudi kusalimia familia nimekuta kuna mbuyu umeota pembeni ya Nyumba yangu ambapo kuna kiwanja nimepanga kujenga lakini kila nikipanga kuanza ujenzi mambo yanavurugika pesa inasambaratika na umeota kwenye dirisha la watoto, mke wangu alikua aujui ndo akauacha nami nilikua siujui piano nilifikiri mti wa kawaida ndo maana sikuwekea maanani, leo vibarua wangu walikuja nyumbani ndio wakaniambia ni mbuyu, no umekua una urefu wa futi 18, je nikiukata utaniletea madhara? naomba ushauri wadau.
Kwahiyo nao umeanza kama mchicha kweli.....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom