Mamlaka ya Hali ya Hewa sasa hivi wanafanya kazi.

jiji101

Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
22
Reaction score
12
Ndugu wana JF,
Taasisi hii sasahivi inajitaidi kufanya kazi vizuri kwa kutoa utabiri wa ukweli karibia 90% uwa wa ukweli, ndugu wana JF tujenge mazoea ya kufatilia utabiri wa hali ya hewa utatusaidia sana
Ongereni Mamlaka ya Hali ya Hewa naona mvua inanyesha kama mlivyo tabiri
 
Na kubahatisha huwa kupo na watu wanaita ni utabiri
 
kama wanaweza watwambie masika inaisha wiki gani ya mwezi gani ndo tuwaamini vinginevyo wakati huu hata babu yangu anaelewa mvua zipo na anaweza akaangalia hewani akakwambia kesho mvua itanyesha kubwa
 
Ndugu wana JF,
Taasisi hii sasahivi inajitaidi kufanya kazi vizuri kwa kutoa utabiri wa ukweli karibia 90% uwa wa ukweli, ndugu wana JF tujenge mazoea ya kufatilia utabiri wa hali ya hewa utatusaidia sana
Ongereni Mamlaka ya Hali ya Hewa naona mvua inanyesha kama mlivyo tabiri
Ni kweli unachosema, hawa mamlaka ya hali ya hewa kwa siku za karihuni utabiri wao unakuwa na usahihi kwa kiasi kikubwa.

Nilisoma utabiri wao siku 2 zilizopita, ambapo walitabiri kuwa kutatokea mvua kubwa kwa ukanda wa pwani kwa siku za Ijumaa na Jumamosi, ambapo leo tumeshuhudia mvua kubwa sana imenyesha katika ukanda wa Pwani.

Vile vile tulishuhudia wiki chache zilizopita mamlaka hiyo hiyo ilitoa utabiri kuwa Dar itanyesha mvua kubwa sana, na kweli mvua hiyo kubwa ilinyesha.

Bravo mamlaka ya háli ya hewa TZ!
 
Na taarifa nilizipata usiku huu ni kuwa daraja moja la chuma kule Segerea kwenda Ukonga lishasombwa. Mto Msimbazi umejaa kuzidi uwezo wake. Threat ni kwa wakazi wa Ulongoni, Tabata, Vingunguti, Kigogo Jangwani. Taarifa hizi ni usku huu saa5
 
kwa akili yako wahitaji kuwapongeza .ila kwa dunia ya sasa kila kitu kipo wazi MKUU.
huku mjini ndio mwapata taabu harafu mpaka nashindwa niwaweke kundi lipi vijana mnashindwa hata kuelewa huu ni nwezi wa ngapi ??
why mshangae mvua sasa.

sisi kipindi tupo bush kabla hata msimu WA mvua haujaanza tunakuwa tushajua msim huu mvua ni NYINGI au laaa
 
Ni kweli unachosema, hawa mamlaka ya hali ya hewa kwa siku za karihuni utabiri wao unakuwa na usahihi kwa kiasi kikubwa.

Nilisoma utabiri wao siku 2 zilizopita, ambapo walitabiri kuwa kutatokea mvua kubwa kwa ukanda wa pwani kwa siku za Ijumaa na Jumamosi, ambapo leo tumeshuhudia mvua kubwa sana imenyesha katika ukanda wa Pwani.

Vile vile tulishuhudia wiki chache zilizopita mamlaka hiyo hiyo ilitoa utabiri kuwa Dar itanyesha mvua kubwa sana, na kweli mvua hiyo kubwa ilinyesha.

Bravo mamlaka ya háli ya hewa TZ!

nchi hii kila sekta wapewe wanawake, ki ukwe wanaume tumeshindwa kila mahali, huo ndiyo ukweli mgumu
 
Back
Top Bottom