Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari wanaJF, Kampuni ya kutoa huduma za mazishi ya God Mark Funeral Director ya mjini Moshi limetangaza punguzo la asilimia 30 kwa mtu atakayenunua jeneza akiwa hai. Bei za majeneza yanayouzwa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
  • Redirect
Source: ITV (Breaking news)
0 Reactions
Replies
Views
Maafa Mpwapwa, watu wanne wafariki dunia baada ya Mvua kubwa kunyesha. Inadaiwa wamesombwa na mafuriko wakiwa wamelala. Hadi sasa miili ya watu watatu imeshapatikana, hivyo tupo kwenye kutafuta...
1 Reactions
60 Replies
11K Views
Nilikutana na rafiki yangu mmoja week iliyopita Jumapili akawa ameniomba sana sana niende kanisani kwake, mimi ni muislam alinishawishi sana Jumapili kweli nikaenda wana kipindi chao cha...
26 Reactions
64 Replies
11K Views
Kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 katika Ibara ya 8. Ibara hii inaipa serikali kuwajibika kwa wananchi na wananchi kujishughulisha katika shughuli za serikali...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
  • Redirect
Habari leo mchana mida ya saa sita na nusu mchana nimepokea message hii," IMETOA SH. 8,000 KWENYE A/C INAYOISHIA NA 00469 TAREHE 1-2-2017 12.27". nilichofanya nilichungulia wallet nayo nikakuta...
0 Reactions
Replies
Views
CLICK ON THIS LINK BELOW Jiwe kubwa linalocheza nchini Tanzania - BBC Swahili Jiwe kubwa linalocheza nchini Tanzania - BBC Swahili
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni takribani mwaka wa nne sasa nipo kikazi Kasulu,,mkoani kigoma.. kimsingi hali ya barabara kutoka nyakanazi(njiapanda ya biharamulo na kigoma) mpaka kufika kasulu mjini barabara ni mbovu mno...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Hawa jamaa sasa hivi mbona ni kama wanatukomoa wananchi?, maana akikusimamisha anakuomba leseni hapohapo anaanza kupunch machine yake, hakuna muda wa kukuambia kosa lako na wewe kujitetea, hivi...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Aje Mazee ?? [emoji3] Well This is Quite informative. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Ezra and Thomas joined a company together a few months after their graduation...
3 Reactions
1 Replies
623 Views
Watu 15 waliokuwa wamefukiwa na kifusi Geita waokolewa wakiwa hai. Kwa mujibu wa habari watu hao wamepelekwa hospitali ili kupatiwa matibabu zaidi. Ikumbukwe kuwa watu hao walifukiwa na kifusi...
19 Reactions
217 Replies
29K Views
  • Redirect
Njiro arusha muda huu kunanyesha mvua kubwa ya mawe, Mungu jaalia mvua hizi ziwe za neema" Angalau wanyama porini wasife kwa njaa.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nakubaliana na mkuu KIgwangala kwamba ifike mahala watu wote tuwaze nje ya Box. binafsi nachelea kuelewa ni kwa nini tunapowaza ujasiriamali kila mtu anawaza kulima,kufuga, kuuza genge n.k wakat...
0 Reactions
Replies
Views
Serikali ya Ufaransa kupitia Benki ya Maendeleo ya Nchi hiyo (AFD) imeahidi kuipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu kutoka wastani wa euro milioni 50 hadi milioni 100 kwa mwaka katika miaka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Chunya: Mkazi wa Mamlaka ya Mji Mdogo Makongolosi wilayani hapa, Robert Francis (19) amehukumia kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumwingilia kinyume na maumbile mtoto wa kiume mwenye umri wa...
0 Reactions
4 Replies
812 Views
Wiki moja baada ya ziara ya mh.Charles Mwijage kiwandani hapo.. Hali sio nzur Kwa mamia ya wafanyakazi na vibarua ndani ya Kiwanda hicho kili drchopo G/Mboto jijini Dar... Source: Wafanyakazi
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Naombeni msaada kwa Hilo swali wadau, vipi kuhusu plate number za gari la Mbowe kwa anaejua, nijuze tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naamini serikali yetu ni sikivu na inajitaidi sana kunyoosha mambo ambayo hayako sawa kataka Taasisi na Mamlaka zake.Hivi Majuzi,nilikua nafatilia uhakiki wa vyeti vyangu na ilinichukua siku nzima...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Nimetafakari sana kuhusu Ben, muda umepita kuna watu walisema Mbowe anajua yuko wapi. Naomba mamlaka imkamate Mbowe imhoji mara moja. Mzee Saanane mbona upo kimya mzee wangu? Ben kweli yupo South...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…