Hivi kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni anatumia gari la serikali au la mbunge?

nelly nashon

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
242
521
Naombeni msaada kwa Hilo swali wadau, vipi kuhusu plate number za gari la Mbowe kwa anaejua, nijuze tafadhali.
 
Anatumia Gari ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi analipiwa Dereva, Mafuta na Matengenezo.

Ule Mwaka aliotangaza kulirudisha lile lilikuwa igizo tu Kama la Operation UKUTA
 
Plate number za gari lake ni KUB (Kiongozi wa Upinzani Bungeni).
 
Back
Top Bottom