Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Habari wanaJF,
Kampuni ya kutoa huduma za mazishi ya God Mark Funeral Director ya mjini Moshi limetangaza punguzo la asilimia 30 kwa mtu atakayenunua jeneza akiwa hai.
Bei za majeneza yanayouzwa na kampuni hiyo ni kati ya 300,000/= hadi 650,000/= kulingana na ubora na punguzo la asilimia 30 ni kati ya Sh 90,000/= na Sh 195,000/=
Changamkie fursa wadau........