cheeter
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 475
- 155
Naamini serikali yetu ni sikivu na inajitaidi sana kunyoosha mambo ambayo hayako sawa kataka Taasisi na Mamlaka zake.Hivi Majuzi,nilikua nafatilia uhakiki wa vyeti vyangu na ilinichukua siku nzima bila hata kuonana na muhusika.
Niliambiwa hilo zoezi linafanywa na mtu mmoja tu Tanzania nzima,"Ngachoka!".Viongozi wa Serikali embu angalieni kwa umakini swala hili maana haiwezekani mtu apoteze siku nzima kwa ajili ya verification ...Upuuzi huu kama sio Utawala mbovu...
Nchi hii inaitaji maombi zaidi ili tutoke hapa tulipo.