Timu za taifa ni za Dar Es Salaam sio za watanzania wote? onesheni mpira na wa vijijini waone

Sanyambila

JF-Expert Member
Jan 24, 2018
339
457
Habari zenu wananchi wenzangu.
Nianze kwa kusema nasikitishwa saana na uongozi Wa Mpira kwa kuto tumia TELEVISION YA TAIFA inayo patikana Karibu ving'amuzi vyote katika maonyesho ya MPIRA HASA TIMU ZA TAIFA,
Waoo wamempa Azam , siyo kila mtanzania anauwezo Wa kununua king'umuzi hiki na vifurushi vyake hiyo ni moja, pili hizo ni timu za Taifa ZIONYESHWE KWENYE TV YA TAIFA KWA MASLAHI YA WALIPA KODI
Kuna faida nyingi TV ya Taifa ikionyesha
1)itaonwa na wananchi wengi zaidi maana watu wengi wana ving'amuzi ila siyo wote wenye Azam
2)Television ya Taifa itapata mapato ya matangazo mbalimbali ya kibiashara ,kijamii n.k
3)TV YA TAIFA ITAONGEZA WAANGALIAJI KWANI ILISHAPOTEZA KWA KUHISIWA IPO UPANDE MMOJA WA SIASA LAKINI MICHEZO HULETA WATU PAMOJA.


USHAURI WANGU:KAMA AZAM WANAONYESJA NA TBC¹ HAWANA UWEZO HUO WAJIUNGE TOKA KWA AZAM MBONA MAMBO MENGINE HUWA WANAJIUNGA?. TIMU YA TAIFA SI YA DARES SALAAM TU ONYESHENI MECHI BAS HATA ZA SERENGETI U 17 VERSUS______ TUNA MICHEZO MITATU TU MMOJA TUMEPOTEZA BADO MIWILI ONYESHENI PLEASE

AHSANTENI KWA NIABA YA WANANCHI WENZANGU.
 
Ile ni business jamaa yangu! Who afford to pay, enjoy it. Ni sawa na kusema iwe entry free ili kuongeza mashabiki.
 
Back
Top Bottom