Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Nimepata Mil 2 ghafla sana bila mategemeo.
Ni deni la kitambo sana ndo nimelipwa leo. Sikutegemea kama ningelipwa aisee. Maana ni miaka 6 sasa.
Hela za ghafla ambazo mtu unapata bila matarajio hupukutika haraka sana maana hukuwa na plan nayo.
Naombeni ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app