MBEYA: Mtoto wa Darasa la Kwanza abakwa na kunyongwa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
matei.jpg

Jeshi la polisi mkoani Mbeya linamshikilia mkazi wa kata ya Upendo wilayani Chunya Masanja willy (25) kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka minane Kwangu Bundala ambaye alikuwa mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Upendo kisha kumnyonga na kumuua.

Afisa Mtendaji wa kata ya Upendo Lucas Alan Mwangala ambaye ndiye aliyetoa taarifa polisi kuhusiana na tukio hilo la ubakaji amesema wananchi baada ya kupata taarifa za kubakwa kwa mtoto huyo walishirikiana na polisi kumkamata mtuhumiwa na kumfikisha kituo cha polisi ili sheria iweze kuchukua mkondo wake.

Chanzo: ITV
 
bila shaka ni wasukuma hao wa chunya (no offence), mambo ya kunyongana na kuuana na ukatili mwingine ni kawaida sasa huko kwao geita, simiyu n.k
RIP mtoto, natumaini haki itatendeka!
 
Kijana miaka 25,.. nguvu unazo kwa nn usiende kununua madada poa huko guest... umebaka na umeua... unafia jela chizi wewe
 
Chaputa inabidi itengewe budget kwenye wizara ya mambo ya ndani ili kusaidia wanaume waoga wa wanawake.

Hii itapunguza kadhia na laana kama hizi.

Au ni masharti ya waganga?
 
Jeshi la polisi mkoani Mbeya linamshikilia mkazi wa kata ya Upendo wilayani Chunya Masanja Willy (25) kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka minane, Kwangu Bundala ambaye alikuwa mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Upendo kisha kumnyonga na kumuua.

Afisa Mtendaji wa kata ya Upendo, Lucas Alan Mwangala ambaye ndiye aliyetoa taarifa polisi kuhusiana na tukio hilo la ubakaji amesema wananchi baada ya kupata taarifa za kubakwa kwa mtoto huyo walishirikiana na polisi kumkamata mtuhumiwa na kumfikisha kituo cha polisi ili sheria iweze kuchukua mkondo wake.
 
Mkuu ni ajabu sana, kuna dhambi nyingine binadamu tunazitunga mpaka shetani mwenyewe anashangaa na hajawahi zitenda...! Anyway R.I.P innocent young kid!. Dunia ingekua gari ningeshuka;););):eek::eek::eek:
 
Huyo mtuhumiwa wangemalizana naye huko huko naye!
Wangemsokomeka vibunzi mknd-- mwake +kumtoa uhai wake tu ahhh
Kitendo alichofanya ni cha knyama sana kwa mtoto huyo

Ova
 
Kwanini walimpeleka polisi? Yaani kabaka na kuua tena malaika, mnampeleka kwenye mikono ya polisi ili iweje au ndio rule of law? Kitakachofuata hapo ni judicial politics and bureaucracy then anaendelea kuishi miaka30 ijayo, alifaa kuminywa kimyakimya na sindano mbili za..............sone basi mnamwachia akapotelee mbali! mungu anisamehe mi si mkamilifu but it pains.
 
Kwanini walimpeleka polisi? Yaani kabaka na kuua tena malaika, mnampeleka kwenye mikono ya polisi ili iweje au ndio rule of law? Kitakachofuata hapo ni judicial politics and bureaucracy then anaendelea kuishi miaka30 ijayo, alifaa kuminywa kimyakimya na sindano mbili za..............sone basi mnamwachia akapotelee mbali! mungu anisamehe mi si mkamilifu but it pains.
Wamekosea sana

Ova
 
Back
Top Bottom